John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
dini yake inamruhusu
Wakuu naomba Watanzania
tuwe na ujasiri wa kuhoji. Kwa kawaida Deputy Sec General anatakiwa
kustaafu pamoja na Sec General. Eti leo tunaambiwa Migiro aliomba
kustaafu. Kitu hicho hakipo hata kidogo, aombe alikuwa na tatizo gani.
Habari za uhakika ambazo zimepatikana ni kwamba huyu mama alishindwa
kazi kabisa. SG alitaka kuvunja team yake yote ili kumuondoa huyu mama.
Lakini alishauriwa amwache amalizie kipindi kimoja tu.
Nashangaa anapewa sifa nyingi kwa kuiletea Tanzania heshima wakati
ametia aibu
Siku Ban atashuka hapa bongo na kummwagia sifa kedekede (tena itakapokaribia uchaguzi mkuu) ndio watu watabaki midomo wazi!
Please ili muwe mmejiandaa ni vizuri muwe na hata story mbili tatu hivi nyingine za kutunga; mfano. Semeni kuwa alikuwa mbadhilifu huko UN au kwamba hajawahi kufaulu mitihani yake chuoni nk maana hiyo ya utendaji wake UN ikichacha kwa kinywa chake mwenyewe mzee ki-mwezi basi mtandao wenu wa kuchafua wenzenu utakuwa kwishinei!
Jamani nilisikia kuwa yeye aliomba kupumzika mwenyewe ili apate muda wa kujipanga kwa mchakato wa upresidaa maana ndio choice ya ****** sasa hapa mnanichanganya kabisa, kwani upresidaa wa bongo na udepute wa UN upi ni ulaji wa maana?
mbona dr. migiro mshamjadil sana pamoja na hz newz msemazo alifukuzwa au alishindwa kazi UN?Mnataka aseme nini?ok mie ni PR wake ni kweli alishindwa kazi UN akafukuzwa.
Hizi ni pumba, kule hakuna desa, unavurunda mwenyewe.Haiwezi kuwa kweli kwamba mama alichemka! Labda tuseme kwambb mama aliomba kupumzika maana kazi za UN zina stress ya hali ya juu na unapojiunga unapewa tahadhari mapema.
Urahisi wa kazi za UN ni kwamba unakuta kila kitu kimepangwa wewe kazi yako ni kupita mle mle tu.
Sasa hapo mtu huwezi kushindwa kufanya kazi na ukizingatia wa-TZ ni mabingwa wa Madessa! Kuna jamaa hapo juu kataja eti P5 kama ni cheo kwenye structure ya UN, sidhani kama ni hivyo, P5 ni salary scale yaani Professional 5 pia utakuta JP1 nk
Yawezekana ata PR wake hawezi kazi!!!
how?mmetaka confirmation ya tetesi zenu nimewapa,mwataka info gani zaidi?
Kama kweli haujashindwa
kazi tupe 'terms of reference' zake huko UN na ile performance report
yake!!