Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
Inatosha jamani ujumbe utakuwa umemfikia. Hebu nipeni ushauri tumsaidiaje huyu mama wa kipare?
hana cha kusaidiwa maana katutia aibu sana...juzi amehojiwa kuhusu uraisu akauka kimanga kuwa anapenda kazi yake ya ualimu na ataendela kufundisha hapo mlimani....lakini chini kwa chini anaandaa shughuli ya kumkaribisha raisi wa liberia tar17 kama sikosei.....anataka kuwaminisha watanzia kuwa hata yeye anauweza uraisi maana safari nzima ile ya raisi inaratibiwa na wanawakwe wa udsm japkuwa itifaki itazingatiwa