Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Sasa wanaompigia chapuo la uraisi wako sahihi kweli?
The trash of UN is a treasure of Tanzania!
Ukweli usioupenda ni kwamba huyu mama mpendwa ali-underperform. kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika (nenda kwenye vox media mwenyewe), alishindwa ku-fit in na kuelewa siasa za ndani ya UN. Hakuna agenda ya kumcahfua, ni ukweli tu. Hebu tumkaribishe mama nyumbani asaidie kuzib nyufa ktk nyuma inayoelekea kubomoka (CCM).Unafikiri kukosa uzoefu ni udhaifu? Jipange upya kumchafua mama huyu ambaye ameiletea Tanzania sifa kubwa. Watanzania na hasa wenye wivu na maisha ya watu badala ya kuwa na wivu wa maendeleo kama wewe hamtufai kwa sasa.
Chakaza,Jasusi mkuu,huo sasa uchoyo wa habari.Mwageni hapa,maana huko mbeleni tutalaumiana kwa kuficha habari na kubaki na tungejua?
Kwahiyo issue hapa si GPA nono, ni utendaji tu. Nachelea kusema GPA ya prof. maji marefu na V. Kamata si issue. tuangalie utendaji.
For that case, tuache kuweka CV za wabunge na viongozi wengine humu jamvini.
Hajanikosea kitu. Kama ni kweli kuwa alitoka nje wakati Ahmedinajad anazungumza alikiuka kanuni za cheo chake.Amekukosea nini huyu Mtanzania mwenzako? mimi naona amejitahidi tu..labda uwe na usongo naye mwingine
Labda ungesema kuwa ni treasure ya CCM tungekuelewa. Tanzania deserves better.The trash of UN is a treasure of Tanzania!
Migiro anaweza kushindwa kufit, lakini kutokufit kwake kunachangiwa pia na Tanzanian foreign policy.
Kwa mfano, Tanzania hawana proper diplomatic relation na Islael wakati nchi zote zinashikilia maamuzi ya UN zinaurafiki wa karibu na Israel.
Tanzania ina ushirikiano wa karibu na Iran, wakati main stream UN mentality ni anti-Iran. Sasa Migiro anajikuta katika kuchagua kuserve nchi yake au kuserve MABWANA.
Katika diplomasia Migiro anatakiwa asiiangushe nchi yake. Hapo ndipo anapopachikwa jina la kutokufit.
Kumbukeni salim pia pamoja na kuqualify, lakini International Policy ya Tanzania ilifanya haonekane ataleta "zengwe" kwenye ofisi ya katibu mkuu wa UN!
The trash of UN is a treasure of Tanzania!
Hajanikosea kitu. Kama ni kweli kuwa alitoka nje wakati Ahmedinajad anazungumza alikiuka kanuni za cheo chake.
Haya mambo yalishawekwa hapa JF huko nyuma. Kuna article ilitoka ikieleza sakarasi za huyu mama kusaka support kwa muhula wake wa pili. Baada ya hap kukawa na kama ka-campaign ka kusafisha mambo. Lakini Migiro alipata cheo kutokana na kazi kubwa ya udalali iliyofanywa na Tanzania kumsaidia Ban Ki-Moon kupata cheo cha ukatibu mkuu. Wakati wa kumpata katibu mkuu UN, Tanzania ilikuwa chair wa AU, lakini pia ilikuwa inashikilia kiti cha usalama kwenye UN-security Council ikiongozwa na Balozi Mahige. Ni kwa kutumia nafasi hizo Tanzania iliweza kufanya ushawishi ndani ya AU na kumuunga mkono Ban Ki-Moon.
Hata hivyo kwangu mimi huu ni mchezo mzuri kwenye siasa za kimataifa na inaleta sifa nzuri kwa Tanzania kama tunaweza kuwa na ushawishi. Shida sasa inakuja kwenye utendaji wa hao wanapata nafasi hizo. Tanzania tunaonekana kususua, kuna issue ya Getrude Mongela, Prof Tibaijuka naye aliondolewa kwenye kiti cha mambo ya Mazingiria UN na kukawa na kelele kelele. Sasa tuna hii ya Migiro. Pengine tujiangalie tena ili kubaini namna nzuri ya kujiimarisha ili hao wanaopata nafasi kwenye hivyo vyombo wanfanye vizuri.