From day one it was obvious for all but the non-observant that she was highly unsuited to the job. As to why she was assigned the job it is simple: Hers (just like the Malagarasi bridge) was the question of South Korea saying "thank you" for the role Tanzania played to land the top UN job to their man. If you have been following the development of her being offered the job, Ban Ki-Moon pleaded to her critics for her to be given a chance to prove herself in the job. Well, they did give her the chance and she miserably failed to prove herself - as opposed to what Ban Ki-Moon hoped!
Uwezo Tunao,
..unapopewa taarifa kama hizo inabidi ufanye utafiti wako mwenyewe ili kujiridhisha.
..Prof.Cleophas Migiro ni mhadhiri idara ya Chemical Engineering pale UDSM, wakati Asha-Rose Mtengeti ni mhitimu wa kitivo cha Sheria.
..mimi sina habari kama mhadhiri wa Chemical Engineering anaweza kupangiwa kipindi chochote kile kufundisha wanafunzi wa Faculty of Law. nakuomba urudi kwa aliyekupa habari hii ili uyahakiki upya madai yako.
But I don't keep any domestic birds..I use an alarm to wake me up instead.
Kama ni uongo basi Migiro bado ni deputy secretary wa UNUkiona habari haina hata jina la mwandishi ujuwe ni udaku tu hakuna zaidi.
Uswahili ulimzidi, kila siku alikuwa kiguu na njia kuja bongo, badala ya kutulia chini na kufanya kazi...
Kawaoshea jina? Tanzania ikijulikana sana UN enzi za Salim Salim. Au tuseme ulikuwa hujazaliwa?Tukatae tuu ila huyu mama katuoshea jina nchi yetu, nani alikua anaijua Tanzania? Hata kama kaboronga ila bado yupo juu sema raia
bhatanzania bhana daaah?! Majungu mmezoea
Unazungumzia ile ya biashara yake na Riziwani?... na hiyo ni faili moja tu; faili nyingine mbili nyeti zaidi juu yake huyu mama tayari iko CHADEMA hivyo siku akirogwa kukimbilia tu tiketi ya Magamba hapo ndipo atakapojiuliza kwamba hee hata haya nayo yajulikana kote huko???????????
Ile ya kutoka nje wakati rais wa Iran anahutubia alitaka kuwafurahisha Wamarekani. Nasikia talking points nyingi zake alikuwa anapewa na State Department. Alisahau kuwa yeye ameajiriwa na UN na wala siyo US.alifikiri jamaa hao wanahongeka kirahisi.....walimtolea nje maana walikuwa hawaoni mama aki-deliver....kila siku alikuwa mguu na njia kuja bongo
halafu kuna siku aliniudhi sana hasa pale alipoona wazungu wanatoka nje ya mkutano pale raisi wa iran alipoanza kuhutubi..nae alitoka......nilijiuliza maswali mengi sana maana hapa bongo tuna ubalozi wa irani na hakuna ugomvi na hvi juzi tumewapa bendera yetu wapeperushe kwenye meli zao....
Mbona yeye sasa anatuambia kuwa utumishi wake UN umemletea sifa nyingi yeye binafsi na Taifa lake la Tanzania? Kumbe alikuwa yupo yupo tu?
And then kuna watu humu wana campaign awe Rais wa JMT 2015. Janga lingine la Taifa linakuja kama tusipokuwa waangalifu.