Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
Asije kugeuza ikulu kuwa ukumbi wa kufanyia kitchen party.
ha ha ha! Hapo umenichekesha sana
Asije kugeuza ikulu kuwa ukumbi wa kufanyia kitchen party.
Hivi Asha Rose Migiro ni mkristo au muislam.Msaada tafadhari
Yeah, kama nilivyosema: Sasa tutegemee nini kama si kutemwa kuendelea kutumikia nafasi hiy adimu kabisa ya kukirimiwa na urafiki wa muda mrefu tulio nao na Wakora? Wametupa nafasi, tumeshindwa kuitumia ipasavyo, na wamejaribu kutuvumilia lakini hali inaendelea kama kawa, hatimaye uvumilivu umefikia kikomo.
Yaani kuwa kwake UN kunahusikaje na "inflation" na "poverty" ya Tanzania? kuwa kwake UN kunahusikaje na "poor planning" ya Tanzania, unaacha kuwalaumu viongozi wako walioko madarakani unakimbilia kuhusika unaibu katibu mkuu na matatizo ya taifa lako. This is poor arguments!
Ni aibu kwa Taifa pia kwani katika seniors wote pamoja na think tank ya Taifa hakuna hata mmoja ambaye aliweza kumpa technical advice ili aweze kuitumia hiyo nafasi kuonyesha kuwa Tanzanians can rule the world ama can bring together the world so to speak....Kila mtu kama kawaida yetu aliliacha hili kama suala binafsi la Dr. Asha-Rose Migiro a product of our own selfish style of governance. Ingekuwa nchi zingine huyu mama angekuwa na jopo la washauri katika nyanja mbali mbali ili aweze kujenga taswira ya watu wa nchi yetu..Intelligent and out-put oriented!
Kwani CCM hapa hawaingii? Hivi ni kwa nini JF is overwhelmingly CHADEMA bent?Hakuna lolote huyu mama angekuwa Chadema ungesikia hapa anavyomwagiwa sifa bado watu hawaoni nje ya vyama vyao.
nchi masikini hizi omba omba za Africa hazina strong lobby UN, ndo maana kila siku mapingamizi yao dhidi ya intrusion ya majeshi ya NATO, France, US, UN hayasikilizwi, there is no such thing as "strong lobby by african group of nations"!Why did Asha-Rose Migiro bid for second term fail despite strong lobby by african group of nations? What will Ban Ki-moon preferred candidate Susana Malcorra bring on board? Majibu?
Mkuu, Nadhani hapa hujamtendea haki Ban Kimoon. Hahusiki kabisa na kujitenga kwa Sudan kusini wala vita ya Libya. haya ni mambo yaliyowahusu sana wananchi wa hizo nchi.UN kama chombo kinachotumiwa na US kwa sasa kinaondoa vikwazo ktk safu yake ya uongozi ambapo kinalazimishwa kupitisha VITA kubwa nyingine ambayo US inataka ipitishwe na UN....by the way Ban kimoon himselfn he has proved failure kwa kulazimishwa kuunga mkono vita ya LIBYA so yeye km kiongozi mkuu wa UN kawafanyia nini wa Africa zaidi ya kutuongezea machungu na pia kuzidi kutugawa wa wa Africa mf SUDAN imemegeka through UN...
Bora aje achukue nafasi yake aliyoiacha maana imekaa muda mrefu bila binadamu...
Ni jambo jema aje nyumbani, tunamkaribisha sana. Sina hakika kama Sitta, Membe, Lowasa, .... watamkaribisha kwa moyo wa ukunjufukama kama mimi.
Kwa namna yoyote anayewaza kichwani mwake juu ya mama huyu kuwa Prezidaa anatenda dhambi!....Hana historia ya utendaji, na hana kauli thabit, ...kimsingi ni bubu!Ni jambo jema aje nyumbani, tunamkaribisha sana. Sina hakika kama Sitta, Membe, Lowasa, .... watamkaribisha kwa moyo wa ukunjufukama kama mimi.