Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
ASHA ROSE FOR 2015 PRESIDENCY?! Nafikiri hapa CCM watakuwa wanajipotezea muda mno. Tumekwisha ona jinsi wanawake wanavyo prove failure kwenye political posts. S. Simba, A. Makinda just to mention the few of them..
Mkuu Wambangwa, hapo juu kwenye red ni prejudice at its best. Wanawake hao unaowataja wame-prove failure kwasababu wamebebwa kwenye nafasi hizo. Wapo wanawake wanaoweza political posts lakini their overlooked kwasababu mbalimbali including: kukosa watu waku-wakingia kifua, kutokuwa popular, kukataa kuwa property ya watu kwenye system etc. Kuna wanawake tumewaona kwenye political post wamefanya vizuri including marehemu Regia Mtema (alikuwa na nia, ari, na convictions pia). Kuna wanaume wengi tu kwenye political post wame-prove failure; nikianza kutaja labda nitajaza hapa. That being said, sidhani kama tunatenda haki pale tunapoanza ku-generalize jinsia fulani hawawezi kuperform. Poor performance imechangiwa sana na jinsi hao viongozi wanavyopatikana na sio jinsia zao. Kwa Tanzania both sides (wanawake na wanaume) wame-prove failure ndio maana tupo hapa tulipo.