Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,625
- 22,004
Baada ya ile kolo day alikuja na nyuzi ya kumuhoji kocha wa mazembe akidai huyo kocha kasema haijui Yanga,lakini baada ya hii video akaufuta ule uzi fasta,cha ajabu kuna kolokwinyo humu uwa wanaziamini kabisa nyuzi zakePopoma Mightier juzi kati ulikuja na thread ya kutuaminisha kua yanga alitoa 'mkwanja' mnono na angeshinda ile mechi dhidi ya Rivers.
Pia nyuma ukaja na hekaya kua wazee wa Simba wamecharuka na wamemmaimdi sana Haji Manara na ukatuambia hapa jukwaani kua siku za Haki Manara zilikua chache sana hapa duniani.
Siku si nyingi leo umekuja na hii thread,
Je huoni kama unajipunguzia uaminifu hapa jukwaani?