Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

Hivi Yanga SC yako hii sasa ilivyo hata Wakiroga mpaka watoe Mikafara kwa Simba SC iliyokamilika unadhani inaweza Kuifunga? Endelea kuota Ndugu ila leo iwe ni dakika 90 au ziada 120 au Mikwaju ya Penati Yanga SC anafungwa. Tunza hii Post yangu na baada ya Saa 1 Usiku tutakutana hapa hapa JamiiForums sawa?
bwege wewe soma kwanza message uelewe ndo uwe unareply, sio krupukrupu! unafikiri kila anaechangia uzi wako ni shabiki wa yanga... kwa taarifa yako ni kwamba yanga hapo hata akilini mwagu.
 
Back
Top Bottom