Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,069
- 4,294
Mkuu mbona kama unapotosha umma umesoma mpaka level ganiMtapewa phase two jomba
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Sijasoma kabisa ila restructuring haiwezi kufanyika katikati ya mkopo elewa,Mkuu mbona kama unapotosha umma umesoma mpaka level gani
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Uasilimia 50 ya wanafunzi wamepewa boom tuuu.... sasa haya kama ni mafanikio sawa..... yani uwe na wanafunzi karibu elfu 50 wanapewa boom tuu halafu yawe mafanikio kweli? wengi wanashindwa kulipa ada...
Ulivyo andika hapo unaweza ukadhani ni neema ... waulize walio pangiwa mikopo leo wakwambie kuhusu ada za vyuo.....
Jau sana boom bila ada uongo asee...asilimia 50 ya wanafunzi wamepewa boom tuuu.... sasa haya kama ni mafanikio sawa..... yani uwe na wanafunzi karibu elfu 50 wanapewa boom tuu halafu yawe mafanikio kweli? wengi wanashindwa kulipa ada...
Ulivyo andika hapo unaweza ukadhani ni neema ... waulize walio pangiwa mikopo leo wakwambie kuhusu ada za vyuo.....
ndo sielewi, an hapo itakuwaje manake kuna watu ambao wameambiwa wasubiri ambayo ndo second phase...Mtapewa phase two jomba
Nilikwambia Rais Samia hajaja kuleta maumivu ila kicheko,ndo sielewi, an hapo itakuwaje manake kuna watu ambao wameambiwa wasubiri ambayo ndo second phase...
Asa kwa mtu aliyepata kidogo ataongezewa au ndo imekaaje mkuu...
asilimia 50 ya wanafunzi wamepewa boom tuuu.... sasa haya kama ni mafanikio sawa..... yani uwe na wanafunzi karibu elfu 50 wanapewa boom tuu halafu yawe mafanikio kweli? wengi wanashindwa kulipa ada...
Ulivyo andika hapo unaweza ukadhani ni neema ... waulize walio pangiwa mikopo leo wakwambie kuhusu ada za vyuo.....
Nilitegemea ongezeko liwe kwenye wanafunzi hasa uwezo wa kulipa ada sio kuwapa hela ya kula halafu washindwe kulipa ada tujisifu tumeongeza idadi ya wanufaika..
Kulikuwa hakuna sababu ya kuongeza idadi ya watu wengi wakati .hatuwezi kuwalipia ada ambalo ndio tatizo kubwa... halafu tunajisifu... mtu akipiga mahesabu ya ada anaweza shindwa kwenye chuo.
Vyuoni tatizo kubwa ni ada..sio kula na kulala... ni vyema serikali ijikite kwenye kutatua matatizo ya kweli lakini sio kushindana kwa awamu hii na hii ...
Mh kwa heriSijasoma kabisa ila restructuring haiwezi kufanyika katikati ya mkopo elewa,
Kama ni 20% basi utapewa from first year on
Mkuu nikupongeze kwa kutumia akili zako vizuri SanaKwamieezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.
Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.
“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.
Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili
Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.
“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.
TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21
Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.
Fedha zimeanza kutumwa vyuoni
Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021
Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.
Pamoja sana mkuuKaribu
Baada ya kazi wajatujadili kidogo nchi yetu,Kwamieezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good

Pacha nakusalia kwa jina la JMTMkuu nikupongeze kwa kutumia akili zako vizuri Sana
Napenda mabandiko ya aina hii sio lelelee tu
Hongera sana Rais Samia
Huyu ndio Rais sasa hakuna makelele wala kutishana na kujigamba mambo yanaenda kwa kasi sana..Rais Samia tumpe miaka 15
Hii haijawahi kutokea kabisa
Ulisema kweli namimi nakubaliana na wewe,Huyu ndio Rais sasa hakuna makelele wala kutishana na kujigamba mambo yanaenda kwa kasi sana..
Nilisema mapema kabisa kwamba mama atawafunika Marais wote waliotangulia na ambavyo ana nyota ya kuaminiwa ndio kabisaa nchi itaneemeka Sana.
Mama anasema kwenye historia yake hajawahi shindana na mtu akashidwa 😃😃..U
Ulisema kweli namimi nakubaliana na wewe,
Mama ananyota sana