St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
Swala zima lililonifanya niulize ni sababu ndugu Michuzi anaongozana na raisi Kikwete karibu safari zote za ndani hata nje ya nchi, hio ni moja.
La pili, mawakala wengi wa usalama duniani hutumia staili hii ya waandishi wa habari kama 'undercovers'.
So, moja jumlisha mbili ndiyo imezaa swali langu:
wewe unaleta hoja ya bangi;
Inawezekana akawa katika hiyo idara,kwani moja ya sifa zake huyu bwana ni kuwa na mkanda mweusi wa karate na yuko fiti vibaya katika sanaa ya mapigano na kujilinda.Ni fikra tunduizi tu na kauli yangu sio sheria..