Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
SEHEMU YA 102
Akakiinamisha kichwa chake, akashangaa mpaka wanatoka, hakumuona mwanaume huyo na wala hakusikia kuitwa.
Walipofika nje, haraka sana Fareed akamwambia waondoke kitu ambacho kwa Maria hakukuwa na tatizo.
“Na bwana wako akikuulizia?” alimuuliza.
“Nitamwambia niliondoka na shangazi. Ila subiri, mimi ni mtoto wa kike, atalainika tu!” alisema Maria huku akiwa na uhakika kwamba Keith kwake, alikuwa hapindui.
Wakaondoka mpaka hotelini, huko, wakajifungia chumbani na kushikanashikana kitandani. Japokuwa alikuwa amefanya mambo mengi ya kishoga lakini kitandani hapo Fareed alikuwa hatari, alikuwa na ujanja mwingi wa kumchezea mwanamke.
Kila wakati Maria alikuwa akiguna kimahaba tu, kwake, kwa mchezo aliokuwa akimuonyesha Fareed haikuwa ya kawaida, ilikuwa michezo hatari ambayo kwa watoto wa kisasa Bongo wangesema si michezo ya nchi hii.
Je, nini kitaendelea?