glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,825
- 4,638
Usijari shem kwahiyo unaifatilia
yani me nikati ya watu wenye mapenz ya dhati na hii hadithi.
sema fareed anazingua kinouma
Usijari shem kwahiyo unaifatilia
Hahaha
HahahaYaan dada siamini unavyofatilia jamani iceman ashukuriwe tu
Fareed atakaa sawa tu halafu kwa nn ukiniquote sipati notification zako mpaka niotee kurudi kwa thread
Ila sijui kwa nini kwa sasa namuonea huruma .ingawa hana akili na tamaa zimemzidiAmepatikana eeh
Mie wala simhurumiiIla sijui kwa nini kwa sasa namuonea huruma .ingawa hana akili na tamaa zimemzidi
Nmekuja Krait
Kwahiyo mod hawataki kabisa nione notification zako
Mkuu sifanyi kazi jf mda wote tu nipo jf
Hahhaha hawa mods sio watu wazuri shem halafu sio wewe tu kuna watu kama wawili wa3 sipati kabisa notification zao yaan wakiniquote sijui chochote mpaka nahisi labda ni setting mmeset wenyewehahaha.
hilo liko wazi kabisa Shem.
sijui wana maaana gani au wanahisi nini