Michepuko inafilisi

Hizo outing toka na mkeo hata kama ni karibu wqkikupigia wambie nipo na wife, full stop
Tatizo wife hapendi hizi outing....hata mkitoka na familia ikifika saa 4 usiku anasema turudi nyumbani
 
Wao wanauza unataka akubanie wakati anataka pesa? Mtaka cha uvunguni habinui kitanda mkuu bali huinama
Kweli pesa inasaidia kupata starehe pendwa....ila kumiliki moja kwa moja ni garama
 
Ndio unikomoe sasa?? Kwani raha si nakupa
 
Nimeanza kupunguza mawasiliano kwa mmoja na kumuambia kwa sasa nabana matumizi nadaiwa na bank,muda wowote wanaweza kuuza asset zangu,akabaki kusema Mungu atakusaidia tu;bila kujua ni mkakati wa kuachana.
 
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ aibu nimeona mimi
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Acha ubahili Brother
 
[emoji108][emoji108][emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…