Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

Nimewahi kuwa nao wakati fulani, niliacha pale mchepuko alipotaka kupindua meza ili awe Mama House.

Yule fala aliiba namba ya waifu na kumtumia ujumbe eti yeye mke mwenzie

Kutokea hapo nimekuwa nafanya Vetting kubwa sana kupata mchepuko
Huyo mchepuko ulimdekeza mnoo, mpaka anafanya ujinga kama huoo. Mchepuko anapaswa akuogope
 
Watu wengi hamuelewi maana ya mchepuko. Iko hivi kupiga demu mara moja au mbilli kisha ukatupa kule huyo sio mchepuko.

Au kununua malaya au wadangaji mara kwa mara ukapiga kisha ukapiga hao sio michepuko.


Michepuko ina thamani kubwa zaidi ya hiyo. Hao ndio side chicks ambao wanabeba dhamana kama ya mkeo kwa kukamilisha kile kilichopungua kwa mkeo. Ndio manawanaitwa nyumba ndogo.

Mchepuko ni mke ambae hajatambulika rasmi kwa watu wa kando kando yako kama vile wazazi, mke nk lkn wewe una uhuru nae na kuwajibika kwake kama ilivyo kwa mkeo.

Kwa sisi wenye michepuko tunachoshindwa ni kuitambulisha tuu kwa familia lkn hawa tumawatumia kama wake zetu.

Tunazaa nayo, tunapanga nayo malengo ya baadae, tumawapiga mikwara, tunawakasirikia, tunawafundisha, tunawatisha kubwa zaidi ni ukamilisho wa furaha ambayo kule big house huipati.

Mchepuko mzuri zaidi (kama wa kwangu) ni yule ambae anamthamini na kumuheshimu mkeo kwa kutomletea dharau na anajua anachofanya sio kizuri ila hawezi kukuacha kwa sababu amekupenda.
Mke wangu alilazwa nikawapa michepuko yangu miwili ratiba ya kumuhudumia. Walinisaidia sana kipindi hicho.
 
Huyo mchepuko ulimdekeza mnoo, mpaka anafanya ujinga kama huoo. Mchepuko anapaswa akuogope
Ukishadate na mtu zaidi ya miaka 2 lazima mzoeane.

Yule Fala nilidumu naye miaka 3 kabla hatuja achana, na binafsi huwa nadumu na mchepuko mmoja hata miaka 4 labda itokee azingue nimfumanie au apate mume aolewe
 
Mimi sijaoa Lakini Kuna kipindi nilichepuka na mke wa mtu na huwa najutia Sana hicho kitendo.
 
Uzi nimeusoma ila upo upande moja wa shillingi sasa vp na nyinyi wake zenu wakachepuka mutawachia au nakufurahia au kuhadisia au kutunga uzii kama huu na wao wakasema kuhusu michepuko yaoo
 
Uzi nimeusoma ila upo upande moja wa shillingi sasa vp na nyinyi wake zenu wakachepuka mutawachia au nakufurahia au kuhadisia au kutunga uzii kama huu na wao wakasema kuhusu michepuko yaoo
Wanawake wote ni kwa ajili ya mwanaume; ila mwanamake mmoja siyo kwa ajili wanaume wote.

Hakuna mahusiano ya mwanamke kuwa na wanaume wengi bali kuna mahusiano ya mwanaume kuwa na wanawake wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom