Master mjehe
Member
- Jan 7, 2014
- 77
- 84
Sijui hata nisemeje nipo kwny ndoa mwak wa tisa huu na mchepuko wangu wa kwanz hata siujui ila wa mwisho naukumbka maana nimechepuka jana tu
Kwako hio tuu sio woteNakubaliana na Wewe.
Ni tabia iliyoko ndani ya kila Mwanaume.
Imebebwa na nguvu ya asili.
Utajicommit kwa muda mfupi tu mkuu.
angalia vizuri usije jikuta unaanza na housegirl wako pindi my wife wako anaanza majukumu ya kulea
Ni wote banaKwako hio tuu sio wote