Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

Kama mke hakupi kero na ni mfariji mkuu....

Mimi na tatizo Moja Sijawai kumsamehe msaliti wa mapenzi hata kama tukiendelea nakua mnafiki nilimwambia wife WANGU siku aki ni Cheat nikajua siwezi kumsamehe na ndio itakua kinyongo na upendo wangu kwake uta FADE

So mm mwaka wa Saba sijawai saliti ndoa
Mkeo anakupa tiGo?
 
Nimewahi kuwa nao wakati fulani, niliacha pale mchepuko alipotaka kupindua meza ili awe Mama House.

Yule fala aliiba namba ya waifu na kumtumia ujumbe eti yeye mke mwenzie

Kutokea hapo nimekuwa nafanya Vetting kubwa sana kupata mchepuko
Nakusalimia ankali!🤣🙌
 
Of course, smartness is a thing you must have to own a sidechick.

Ukipata mchepuko anayejielewa utaona maisha burdani sana. Kuna mmoja niliwahi kuwa naye miaka kadhaa nyuma, hakuwa msumbufu mwanzoni.

Shida ilianza aliponogewa na show, ikawa simu kila saa plus message za kumiss ambazo zilini alert kuchukua maamuzi ya kuvunja yale mahusiano naye. Uki entertain unaweza kuta ndoa inavunjika asubuhi na mapema kwa mwenendo huo.

Haimake sense kutuma meseji saa 5 usiku eti umenimisi utasema kesho hatutaweza kuwasiliana.

======
Option hiyo ya kununua inatumiwa na watu wengi sana ili kuepusha risks za kuvunja ndoa sababu ya michepuko.

Wasiwasi wangu unaweza kukosa huduma nzuri kutoka kwa hawa watu maana wapo kibiashara zaidi, wengine tunapenda nakshi nakshi za kukatiwa kiuno na utundu kwa ujumla.

Vitu hivi sidhani kama unaweza kupata kwa mlupo wa kununua
Unajimwaga babu ....nachukua notes hapa
 
Kama sex life kwenye ndoa ni mbovu,mwanaume lazima atachepuka tui

Kama mke ana low libido hii ndo hatari kabisa kabisa

Mke na ampe mumewe chakula cha usiku ipasavyo vinginevyo awe tayari kusamehe mara nyingi zaidi kwa sababu mwanaume atachepuka sana tuu.
 
By the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.

Ni hivi hali ya kuchepuka inategemeana sana na Mazingira, Ofisini, field n.k

Kwa sasa na amini hii ni nguvu ya asili!

Hali ya kuwa na matamanio na hitaji hilo muhimu.

Hebu Wanaume tuelezane experience zetu za kwanza kwenye kuchepuka.

Mimi nilianza few days tu baada yakuingia ndoani miaka kadhaa iliyopita, na nilichepuka na my best friend. Kumbe alikuwa ananipenda sana ila ndiyo ile hakutaka kabisa kunionyesha.

Tulifanya tu mara moja!
once for All, and distance keeps us apart..

Huyo ndio mchepuko wangu wa kwanza.

Vipi wewe ulianzaje?

Michepuko ni hatari.

Tuchepuke kwa Tahadhari.
Wakati mwingine tunachepuka sio kwa kupenda ila kutokana na kero za wenza wetu. Mke akiwa chamming, mfariji, anayejua kutuliza munkari wako na wake pindi mnapokwaruzana hakuna haja ya kuchepuka
 
Watu wengi hamuelewi maana ya mchepuko. Iko hivi kupiga demu mara moja au mbilli kisha ukatupa kule huyo sio mchepuko.

Au kununua malaya au wadangaji mara kwa mara ukapiga kisha ukapiga hao sio michepuko.


Michepuko ina thamani kubwa zaidi ya hiyo. Hao ndio side chicks ambao wanabeba dhamana kama ya mkeo kwa kukamilisha kile kilichopungua kwa mkeo. Ndio manawanaitwa nyumba ndogo.

Mchepuko ni mke ambae hajatambulika rasmi kwa watu wa kando kando yako kama vile wazazi, mke nk lkn wewe una uhuru nae na kuwajibika kwake kama ilivyo kwa mkeo.

Kwa sisi wenye michepuko tunachoshindwa ni kuitambulisha tuu kwa familia lkn hawa tumawatumia kama wake zetu.

Tunazaa nayo, tunapanga nayo malengo ya baadae, tumawapiga mikwara, tunawakasirikia, tunawafundisha, tunawatisha kubwa zaidi ni ukamilisho wa furaha ambayo kule big house huipati.

Mchepuko mzuri zaidi (kama wa kwangu) ni yule ambae anamthamini na kumuheshimu mkeo kwa kutomletea dharau na anajua anachofanya sio kizuri ila hawezi kukuacha kwa sababu amekupenda.
Umemaliza mzee.......
 
Mchawi pesa, ikizidi tu matumizi, iliyobaki inatafuta sehemu ya kutokea;
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom