Safi, ni swala la muda tuNi mara nyingi nimeingia majaribuni ila Huwa naifikiria familia yangu na hairisha na siku nikisaliti ntajisikia vibaya sana otherwise mpk wife aje nifanyia vituko tunaishi vizuri japo kukwaruzana kupo...
Mwanaume asiyechepuka ana matatizo.By the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.
Ni hivi hali ya kuchepuka inategemeana sana na Mazingira, Ofisini, field n.k
Kwa sasa na amini hii ni nguvu ya asili!
Hali ya kuwa na matamanio na hitaji hilo muhimu.
Hebu Wanaume tuelezane experience zetu za kwanza kwenye kuchepuka.
Mimi nilianza few days tu baada yakuingia ndoani miaka kadhaa iliyopita, na nilichepuka na my best friend. Kumbe alikuwa ananipenda sana ila ndiyo ile hakutaka kabisa kunionyesha.
Tulifanya tu mara moja!
once for All, and distance keeps us apart..
Huyo ndio mchepuko wangu wa kwanza.
Vipi wewe ulianzaje?
Michepuko ni hatari.
Tuchepuke kwa Tahadhari.
Sijui hata nifanyeje maaana nimezaa na mchepuko watoto wengi kuliko mke wa ndoa! Japo mke wangu hafahamu lolote!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Mwaga manenoUzi unanihusu 100%![]()
Hii ndo dhambi inayonitesa sema kizuri ni kwamba wife ananiamini sana.By the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.
Ni hivi hali ya kuchepuka inategemeana sana na Mazingira, Ofisini, field n.k
Kwa sasa na amini hii ni nguvu ya asili!
Hali ya kuwa na matamanio na hitaji hilo muhimu.
Hebu Wanaume tuelezane experience zetu za kwanza kwenye kuchepuka.
Mimi nilianza few days tu baada yakuingia ndoani miaka kadhaa iliyopita, na nilichepuka na my best friend. Kumbe alikuwa ananipenda sana ila ndiyo ile hakutaka kabisa kunionyesha.
Tulifanya tu mara moja!
once for All, and distance keeps us apart..
Huyo ndio mchepuko wangu wa kwanza.
Vipi wewe ulianzaje?
Michepuko ni hatari.
Tuchepuke kwa Tahadhari.
🤣🤣🤣🤣, life not fair at allKuna Wadada WATATU mpaka muda huu na weka hewani hili bandiko ni Mimi tu kutoa location wapo king ila nawazaga sana BETRAYAL na CONSEQUENCES zake
mm kama kijana nashikilia rekodi mwaka wa Saba now sijawai saliti ndoa (chepuka)
Huwa naingia tamaa sometimes maana Kuna pisi kali nyingi tu zinazaliwa kama binadamu ila siku zote LOGIC Hunikumbusha the consequences za CHEATING naishia kuzuga na kupotezaa....
da we acha tu😂By the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.
Ni hivi hali ya kuchepuka inategemeana sana na Mazingira, Ofisini, field n.k
Kwa sasa na amini hii ni nguvu ya asili!
Hali ya kuwa na matamanio na hitaji hilo muhimu.
Hebu Wanaume tuelezane experience zetu za kwanza kwenye kuchepuka.
Mimi nilianza few days tu baada yakuingia ndoani miaka kadhaa iliyopita, na nilichepuka na my best friend. Kumbe alikuwa ananipenda sana ila ndiyo ile hakutaka kabisa kunionyesha.
Tulifanya tu mara moja!
once for All, and distance keeps us apart..
Huyo ndio mchepuko wangu wa kwanza.
Vipi wewe ulianzaje?
Michepuko ni hatari.
Tuchepuke kwa Tahadhari.
Sasa wewe unaumiza kichwa bure wake zetu wenyewe wanagegedwa huko nje....all is fair. Cha msingi mke aje na style mupya mupyaBy the way, kati ya Wanaume 100 tulioko kwenye ndoa 99 tumechepuka.