Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

Kama mke hakupi kero na ni mfariji mkuu....

Mimi na tatizo Moja Sijawai kumsamehe msaliti wa mapenzi hata kama tukiendelea nakua mnafiki nilimwambia wife WANGU siku aki ni Cheat nikajua siwezi kumsamehe na ndio itakua kinyongo na upendo wangu kwake uta FADE

So mm mwaka wa Saba sijawai saliti ndoa
Kuna Mazingira tu, yanapelekea haya mambo.
Tamaa, Nguvu n.k

Kama uko na mkeo 24/7. Risk inapingua zaidi
 
Watu wengi hamuelewi maana ya mchepuko. Iko hivi kupiga demu mara moja au mbilli kisha ukatupa kule huyo sio mchepuko.

Au kununua malaya au wadangaji mara kwa mara ukapiga kisha ukapiga hao sio michepuko.

Michepuko ina thamani kubwa zaidi ya hiyo. Hao ndio side chicks ambao wanabeba dhamana kama ya mkeo kwa kukamilisha kile kilichopungua kwa mkeo. Ndio manawanaitwa nyumba ndogo.

Mchepuko ni mke ambae hajatambulika rasmi kwa watu wa kando kando yako kama vile wazazi, mke nk lkn wewe una uhuru nae na kuwajibika kwake kama ilivyo kwa mkeo.

Kwa sisi wenye michepuko tunachoshindwa ni kuitambulisha tuu kwa familia lkn hawa tumawatumia kama wake zetu.

Tunazaa nayo, tunapanga nayo malengo ya baadae, tumawapiga mikwara, tunawakasirikia, tunawafundisha, tunawatisha kubwa zaidi ni ukamilisho wa furaha ambayo kule big house huipati.

Mchepuko mzuri zaidi (kama wa kwangu) ni yule ambae anamthamini na kumuheshimu mkeo kwa kutomletea dharau na anajua anachofanya sio kizuri ila hawezi kukuacha kwa sababu amekupenda.
Yaani kwa maelezo yako, mchepuko ni mke. Binafsi siwezi kuwa na mchepuko nikampa majina bandia, yule ni wife..anafanya duties za wife kasoro cheti cha ndoa tu.
 
Watu wengi hamuelewi maana ya mchepuko. Iko hivi kupiga demu mara moja au mbilli kisha ukatupa kule huyo sio mchepuko.

Au kununua malaya au wadangaji mara kwa mara ukapiga kisha ukapiga hao sio michepuko.

Michepuko ina thamani kubwa zaidi ya hiyo. Hao ndio side chicks ambao wanabeba dhamana kama ya mkeo kwa kukamilisha kile kilichopungua kwa mkeo. Ndio manawanaitwa nyumba ndogo.

Mchepuko ni mke ambae hajatambulika rasmi kwa watu wa kando kando yako kama vile wazazi, mke nk lkn wewe una uhuru nae na kuwajibika kwake kama ilivyo kwa mkeo.

Kwa sisi wenye michepuko tunachoshindwa ni kuitambulisha tuu kwa familia lkn hawa tumawatumia kama wake zetu.

Tunazaa nayo, tunapanga nayo malengo ya baadae, tumawapiga mikwara, tunawakasirikia, tunawafundisha, tunawatisha kubwa zaidi ni ukamilisho wa furaha ambayo kule big house huipati.

Mchepuko mzuri zaidi (kama wa kwangu) ni yule ambae anamthamini na kumuheshimu mkeo kwa kutomletea dharau na anajua anachofanya sio kizuri ila hawezi kukuacha kwa sababu amekupenda.

Hii imeenda…..
 
Nimewahi kuwa nao wakati fulani, niliacha pale mchepuko alipotaka kupindua meza ili awe Mama House.

Yule fala aliiba namba ya waifu na kumtumia ujumbe eti yeye mke mwenzie

Kutokea hapo nimekuwa nafanya Vetting kubwa sana kupata chepuko
Mkuu uyo mchepuko wako alikuwa fala sana yan anapewa lifti anataka apige na oni kabisa uyo ni wa kumtandika makofi alafu unamuacha mazima mana alitaka kukuaribia ndoa

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Wadada WATATU mpaka muda huu na weka hewani hili bandiko ni Mimi tu kutoa location wapo king ila nawazaga sana BETRAYAL na CONSEQUENCES zake
mm kama kijana nashikilia rekodi mwaka wa Saba now sijawai saliti ndoa (chepuka)

Huwa naingia tamaa sometimes maana Kuna pisi kali nyingi tu zinazaliwa kama binadamu ila siku zote LOGIC Hunikumbusha the consequences za CHEATING naishia kuzuga na kupotezaa....
hicho ni Kipaji mkuu,nakupongeza
 
Watu wengi hamuelewi maana ya mchepuko. Iko hivi kupiga demu mara moja au mbilli kisha ukatupa kule huyo sio mchepuko.

Au kununua malaya au wadangaji mara kwa mara ukapiga kisha ukapiga hao sio michepuko.

Michepuko ina thamani kubwa zaidi ya hiyo. Hao ndio side chicks ambao wanabeba dhamana kama ya mkeo kwa kukamilisha kile kilichopungua kwa mkeo. Ndio manawanaitwa nyumba ndogo.

Mchepuko ni mke ambae hajatambulika rasmi kwa watu wa kando kando yako kama vile wazazi, mke nk lkn wewe una uhuru nae na kuwajibika kwake kama ilivyo kwa mkeo.

Kwa sisi wenye michepuko tunachoshindwa ni kuitambulisha tuu kwa familia lkn hawa tumawatumia kama wake zetu.

Tunazaa nayo, tunapanga nayo malengo ya baadae, tumawapiga mikwara, tunawakasirikia, tunawafundisha, tunawatisha kubwa zaidi ni ukamilisho wa furaha ambayo kule big house huipati.

Mchepuko mzuri zaidi (kama wa kwangu) ni yule ambae anamthamini na kumuheshimu mkeo kwa kutomletea dharau na anajua anachofanya sio kizuri ila hawezi kukuacha kwa sababu amekupenda.
Kula LIKE mkuu
 
Yaani ni shida, nikahusisha na kisa cha Shetani kutaka mamlaka ya Mungu wakati yeye alikuwa malaika msaidizi tu wa Sir God 😅

Kuna haja ya kuwa makini na hawa Michepuko, ukiona ana viashiria vya kutaka kupindua meza muache mapema kabla hajaleta maafa
Maisha na micheps unatakiwa kuwa smart sana, kuna jamaa yeye anapigapiga tu, kifupi ananunua huko fb, anasema havimpi shida coz wakimalizana hawatafutani tena hadi jamaa akitaka tena...which means ni huduma yenye malipo. 50k each session.
 
Of course, smartness is a thing you must have to own a sidechick.

Ukipata mchepuko anayejielewa utaona maisha burdani sana. Kuna mmoja niliwahi kuwa naye miaka kadhaa nyuma, hakuwa msumbufu mwanzoni.

Shida ilianza aliponogewa na show, ikawa simu kila saa plus message za kumiss ambazo zilini alert kuchukua maamuzi ya kuvunja yale mahusiano naye. Uki entertain unaweza kuta ndoa inavunjika asubuhi na mapema kwa mwenendo huo.

Haimake sense kutuma meseji saa 5 usiku eti umenimisi utasema kesho hatutaweza kuwasiliana.

======
Option hiyo ya kununua inatumiwa na watu wengi sana ili kuepusha risks za kuvunja ndoa sababu ya michepuko.

Wasiwasi wangu unaweza kukosa huduma nzuri kutoka kwa hawa watu maana wapo kibiashara zaidi, wengine tunapenda nakshi nakshi za kukatiwa kiuno na utundu kwa ujumla.

Vitu hivi sidhani kama unaweza kupata kwa mlupo wa kununua
 
Shida ni kwamba wanawake zetu wanasahau kwamba sex ni muhimu sana kwetu

Mi nilikaa miaka 3 bila kuchepuka..

Weee si akaanza kutumia sex km fimbo ya kunichapia...nikaanz kusahau hata kufanya mapenzi mpk uliridhike inakuajebao 2 la pili nimechoka pumbavuuuuuuuuu!!!!

Nilivyotafuta katoto kMoja kachuo aisee mapenzi yalirudi sana kwa mke wangu .

Ukipata mchepuko wa kuondoa kiu ya mapenzi ndo upendo unarudi kwa mkeo maana hasira zote juu yake zinaisha ghafla...

Kuna hasira z genye ambazo ni common sana kuzipata kwa sisi wenye ndoa za mke mmoja..

Unahisi hili puuzi linajua hata kwanini nimelioa au limekaa Kaa tu km funzA humu ndani..sasa kagonge vizuri katoto kachuo bao 3 ,nyege ziishe ndo ukirudi nyumbani walau unamuonA wa maana..

Mwanaume anweza kuvumiliA asichepuke ila lazima makwazo yawe chini ndani ya nyumba na sex iwe ya kula na kusaza yaani kifupi mwanamke awe na libido kubwa.. changamoto ni kumpata mwenye libido kubwa ndo kipengele..

Kwenye ndoa ukizubaa unaweza kujikutA uume umesinyaa hivi hivi na hapo ndo lazima ujiongeze.. Unaweza kusahau kufanya mapenzi

Yametukuta wanaume tuliopanga tusiguse nje...

Mtu anakuwa km dada Yako kazubaa tu

Kuliko kuanzA kumpiga makofi kwa makosa madogo madogo,hizo genye zako katafute pakuzitoa.Genye mbaya zinaweza kufanya mchukie mke usitake hata kumuona au umpige bila sababu kumbe ni hasira za kubaniwa k.

Kosa dogo bonge la kofiiiii anajiuliza huyu mbona ana mahasira hasira..swali mara ya mwisho kumpa sex ni lini???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom