Michelle.........

Teh kesho utaona kama hajaomba kulala sebuleni kwa kasheshe atakaloata huku leo
Haitakua mara ya kwazna jaman,mbona wakati mwingine tunalala jikon kwa raha zetu!!!!

Hizo kasheshe huwa hazimpati hua zinaishia kwa walinzi kabla hazijamfikia yeye lol!
 
Mi niko fresh kabisa GeeCee. . . Vipi wewe?

Heheheheh. . .Mnaweza mkafikia bei? Maana hiyo info sio ya bei chei.

Ngoja nkonfemu na tajiri la Kihaya kisha ntakurudia... Tutaangalia tutaweza kuraise ngapi za fastafasta kabla ya kwenda benki.......

Halafu tutarudi kuendelea kunegoshieti...
 
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................

Waitu mushanage.....

Waitu wahulira ebyo mbaile ninfumola na Lizzy... Manti aine whereabouts zo ogwo mwisiki..
 
Okay, kweli bana
kuna only one and one Lizzy.

Huyu Eliza wa T simtaji tena maana huwa anazuka ghafla kama maziwa ya mgando.

Konnie hii Lizzy wa. . . .Lizzy wa siifagilii bana. Inanichanganya mara ya pili hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom