Michelle.........

Michelle.........

Mambo ya familia achana nayo halafu nimekuta sms ya mapenzi kwenye simu ya mke wangu kichwa bado kinaniuma jamani
Hahahaaaa sasa tukikuambiaga SweetLady kaanza tabia za wifi yake Kabakabana unakataaga eti unamuamini....
Sasa hiyo msg ya mapenzi imeingiaje kama ni mwaminifu?
Hebu sema imetoka kwa Bishanga au nani?
 
Nafurahi kusikia ivo,mwambie wifi ywngu namiss sana!

Mme wangu lzm makeke yawepo jaman,si unajua wakati huu yanahusika sana!!
Hapa nimetoka kumlisha cha asubuhi kajipumzisha lol!
Loh leo haendi kufunga kampeni Arumeru?
Kama ataenda mwambie alale USA maana kwa leo sina urafiki naye kabsaaa na njia pale Patandi tutaifunga kwa umati wa watu.....
 
Dah hicho cha asubuhi sikipatii picha kilivyokuwa cha moto ndio maana anazidi kurefuka pua lake
 
Hahaha hahahha hahhaha,
Si unajua yeye ni papa na usafiri kwa hisan ya chama,
So kuna hericopta itakuja kumpeleka na kumrudish kwan siku hizi hali tena magengeni ni lzm aje kula kitumbua cha nyumban!!!!

Kwako hatakuja kbs,na njia hiyo hatapita mtamwona kwa juu na hericopta tu nhahahahha!
 
Hahahaaaa sasa tukikuambiaga SweetLady kaanza tabia za wifi yake Kabakabana unakataaga eti unamuamini....
Sasa hiyo msg ya mapenzi imeingiaje kama ni mwaminifu?
Hebu sema imetoka kwa Bishanga au nani?

Nimejaribu kuichunguza inaonekana kama ni wrong number ila namsubiria aje anieleze vizuri
 
Dah hicho cha asubuhi sikipatii picha kilivyokuwa cha moto ndio maana anazidi kurefuka pua lake
Umeeona eee!umoto asilia wala sio wa kwenye oven au mchina!!!!
Ile pua ndio ugonjwa wangu mie!!!na siri ya uzuri na umuhimu wake naujua mie lol!
Niwajibu wangu kuahkikisha pua inarefuka na kunenepa ebo!!!!
 
Hahaha hahahha hahhaha,
Si unajua yeye ni papa na usafiri kwa hisan ya chama,
So kuna hericopta itakuja kumpeleka na kumrudish kwan siku hizi hali tena magengeni ni lzm aje kula kitumbua cha nyumban!!!!

Kwako hatakuja kbs,na njia hiyo hatapita mtamwona kwa juu na hericopta tu nhahahahha!
Hahahaaa hata wapae ila wako na hali mbaya sana...
mwambie arudi home kuja kukaa na familia aisee maana watamchosha bure
 
Nimejaribu kuichunguza inaonekana kama ni wrong number ila namsubiria aje anieleze vizuri
Teh imekula kwako.....
Mi hizo presure sinaga.....Mtoto wangu mwenyewe...hana makuu...
Nanukuu "Najituliza kwake Amyner eeh yooyoo....hataki maneno oo hataki maneno.....anachopata kinamtoshaaa oooh hataki hataki matataaa hataki mataaa....Naomba Mungu amsaidie yoyoyoooo daima milelee......."
 
Hahahaaa hata wapae ila wako na hali mbaya sana...
mwambie arudi home kuja kukaa na familia aisee maana watamchosha bure
Kila siku yupo hm huwa wanampeleka na kumrudisha,
Hakuna cha hali mbaya,matokeo ya gemu ni dakika 90 bana,

BTW;Mwanaume hachoki na hachoshwi!!!!

Wewe hua unachoka na kuchoshwa?
 
Umeeona eee!umoto asilia wala sio wa kwenye oven au mchina!!!!
Ile pua ndio ugonjwa wangu mie!!!na siri ya uzuri na umuhimu wake naujua mie lol!
Niwajibu wangu kuahkikisha pua inarefuka na kunenepa ebo!!!!

Ndio maana katumbo kamevimba mapema au sio
 
Kila siku yupo hm huwa wanampeleka na kumrudisha,
Hakuna cha hali mbaya,matokeo ya gemu ni dakika 90 bana,

BTW;Mwanaume hachoki na hachoshwi!!!!

Wewe hua unachoka na kuchoshwa?
Sichoki kwenye ile kitu...kubeba magunia nachoka....
 
Ndio maana katumbo kamevimba mapema au sio
Umejuaje shem!
Habri ndio hiyo lol!
Ila bado tuko hane mun tumeongeza miezi 2 ya kuwa huku aiseee!
Nyie bado hamjaotesha?
Nina wasi wasi na hanemun yenu!!!
 
Sichoki kwenye ile kitu...kubeba magunia nachoka....

Hahahah hahahha hahahahah,
Umichekesha kwa laudi spika lol!
Wa kwangu hachoshwi kwa lolote akija hm muda wote yuko akitivu kwa ulaji wa kitumbua lol!
 
Umejuaje shem!
Habri ndio hiyo lol!
Ila bado tuko hane mun tumeongeza miezi 2 ya kuwa huku aiseee!
Nyie bado hamjaotesha?
Nina wasi wasi na hanemun yenu!!!

Wifi yako kichefuchefu hakimuishi anakula sana udongo wa pemba na anapenda sana kula vitu vichachuvichachu
 
Hahahah hahahha hahahahah,
Umichekesha kwa laudi spika lol!
Wa kwangu hachoshwi kwa lolote akija hm muda wote yuko akitivu kwa ulaji wa kitumbua lol!
Teh kesho utaona kama hajaomba kulala sebuleni kwa kasheshe atakaloata huku leo
 
Wifi yako kichefuchefu hakimuishi anakula sana udongo wa pemba na anapenda sana kula vitu vichachuvichachu
Hiyo ni ya nani sasa?
Wa kwenye msg au yako?
Mh nakuhurumia sana Nitty
 
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................

Lazima umemuota huyu.....siumfate kwao,hupajui nikupeleke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom