Michelle.........

Thank u, thank u, thank u my queen. Kule kwetu migombani
mwanamke akikuambia sina la kusema na kicheko kingi juu
ina maana kakubali! Kamwe hutajuta my queen, nitakuwa mtiifu na
muaminifu kwako kila nikiwa karibi nawewe.

Kwa uzoefu wangu wanaume wenye maneno matamu si watekelezaji wa sera zao....:yo:
 
Michelle uzi wa Sheby chichat title 'Queen Michelle....',umeuona? umefurahi eh? MWONE! HAMUACHANI TU?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom