Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
- Thread starter
- #41
hebu tuklie kwanza la hashycool,bado wako pamoja au wameachana.Hahahaaa so unaogopa kichapo.....teh
Dah ngoja basi tukusaidie kumtafuta ila sasa itabidi usimfanyie km ulofanya kwa E wa T maana nayeye atatafuta small house bila kujali umemnunulia Rav 4