Michelle.........

Michelle.........

ha ha ha, do you miss me?
Come at my place, sisimizi bar.

Ukinikosa hapo utanikuta sinza Mori pale kigorofa cha mbao kuna noah mzuri sana.

Mziki napenda G&D, hapa huwa tuko na Bishanga.

I don't have one,find for me please..

But I miss you Konnie.. Sijui nipae nije Bongo.. Ila kwetu kuna mvua time hii.. Lifti za ungo sio dili usiku huu..
 
ha ha ha, do you miss me?
Come at my place, sisimizi bar.

Ukinikosa hapo utanikuta sinza Mori pale kigorofa cha mbao kuna noah mzuri sana.

Mziki napenda G&D, hapa huwa tuko na Bishanga.

Hii tymtebo yako naijua Konnie...

But on Easter,I won't be there.. Ila,will let you know beforehand..
 
hata ungo haufai kukufikisha hapa???

Basi pole, acha sie tuponde raha kati kati ya shida za uchumi wa nji hii.

Ila... Nina kajiplan f'lani..

Poa lakini.. Konnie,hivi huyu ni yule orijinale?(G Mpoleee)
 
haswa ndie orijinale
mwingine fotokopi

alikuwa shule, naona kafunga kwa sikuu ya pasaka.

Nimekusoma.. Hilo lawezekana..

Hivi naomba yule Kong's bunsen burner variety yake ya vinywaji inajulikana,au we waijua inapotimu jioni au w/end..?
 
ha ha ha, do you miss me?
Come at my place, sisimizi bar.

Ukinikosa hapo utanikuta sinza Mori pale kigorofa cha mbao kuna noah mzuri sana.

Mziki napenda G&D, hapa huwa tuko na Bishanga.
Unasemaje?
 
Hii tymtebo yako naijua Konnie...

But on Easter,I won't be there.. Ila,will let you know beforehand..
Hivi we GC are u shua unatongoza mdada? Shauri lako wenzio kwenye gari wanatembea na vikopo vya vaselini.
 
Michelle baby njoo kwangu. Mimi ndio diamond maker.
Amini nakuhakikishia mapenzi ni ya wawili tu! Ila unaweza mleta huyo Asha huone ninavo mlainisha mwenyewe atake akwapue mimi akubadili wewe. Ila sitakubali!
I was meant for u my queen.

Una uwezo mkubwa sana wa kulainisha inavyoonekana.....nakuogopa sasa Shabhan....let me stick to baba watoto mapacha watatu wangu....!!!
 
kamanda kwani kuzalisha kitu gani?
Wewe huoni mtoto kanipenda anasubiri tu kauli ya Asha?
Na no woman can resist Shabhan!
Get mad kamanda mtoto mzuri namna hio sitishiki kwa nyau!

He he he he he.....chezeya Michelle sasa...i will prove you wrong!
 
nimeota mmeachana na Hashycool,bonge la ugomvi,kesho yake unanipigia unalia,nikakwambia ukitoka kazini tukutane karambezi,sea cliff,ukashuka na mkoko wako ( ML m benz),well we had a drink,ukafunguka na kunipakulia visa vyote vya HC jinsi asivyokujali,so tukaendelea na wine,and then ukaanza ku relax,i don't know ilitokeaje nikashtukia you are in my hands right in front of all patrons.......oh dear oh dear...niendelee mpaka mwisho ndoto ilivyoisha?

He he he he he......that's a very sweet dream....i just wish i could make it a reality....if only......:A S 39: :bounce:
 
Una uwezo mkubwa sana wa kulainisha inavyoonekana.....nakuogopa sasa Shabhan....let me stick to baba watoto mapacha watatu wangu....!!!

Michelle my queen wat is this? Nimekuota leo baby tukiwa ufukweni upepo
mwanana ukipiga uso wako ukiwa umeshehen raha ya ajabuikiwa imesimikwa kwa mapenzi ulio nayo juu yangu. Sura yako my queen
ilikua ni kioo cha sura yangu. Ghafla likaja limtu la ajabu kutaka kututenganisha.
Sikukubali my queen! Nimepambana na hilo lijitu na kulikata shingo. Michelle my queen mimi ni mtoto wa chifu najua kusoama maana ya ndoto. Hio ndoto maana yake
kuna watu wanatuonea kijicho na hawataki tuwe wote. Usisikie maneno ya watu. Njoo queen wangu nikupe maraha na hao malaika tulee sote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom