Michelle.........

Michelle.........

kamanda kwani kuzalisha kitu gani?
Wewe huoni mtoto kanipenda anasubiri tu kauli ya Asha?
Na no woman can resist Shabhan!
Get mad kamanda mtoto mzuri namna hio sitishiki kwa nyau!


Kamanda mdogo mdogo...ngoja AshaDii aje aweke mambo sawa...ODM mwache manake ukibishana naye huyo utapoteza nguvu bure lol
 
kamanda kwani kuzalisha kitu gani?
Wewe huoni mtoto kanipenda anasubiri tu kauli ya Asha?
Na no woman can resist Shabhan!
Get mad kamanda mtoto mzuri namna hio sitishiki kwa nyau!
:nono:

Kamanda mdogo mdogo...ngoja AshaDii aje aweke mambo sawa...ODM mwache manake ukibishana naye huyo utapoteza nguvu bure lol
Sijaona ukimwambia kuwa Asha to the Dii ni my darling Shem.... wa ukweee!
 
I miss you my friends....and there is no single day that i do not think of you people.

Ninawapenda na tuko pamoja japo si kila wakati ninaweza ku-comment au kusoma kila kitu.

Bishanga, you are missed more....huyo E wa T mtoe maanani, there is a room for you in my heart....njoo tumalize safari pamoja......!!! Asante kwa kuniota,natamani kujua uliota nini.....lol

Babu ODM nimejifungua mapacha wako....asante kwa kunituliza manake hata kuongea achilia mbali kuandika kwa laptop sikuwa naweza...natumai utanirudisha kwenye hali yangu.....lol

Nawapenda wote....Tuko Pamoja!!
nimeota mmeachana na Hashycool,bonge la ugomvi,kesho yake unanipigia unalia,nikakwambia ukitoka kazini tukutane karambezi,sea cliff,ukashuka na mkoko wako ( ML m benz),well we had a drink,ukafunguka na kunipakulia visa vyote vya HC jinsi asivyokujali,so tukaendelea na wine,and then ukaanza ku relax,i don't know ilitokeaje nikashtukia you are in my hands right in front of all patrons.......oh dear oh dear...niendelee mpaka mwisho ndoto ilivyoisha?
 
Nafurahi kusikia hivyo.....!

Mimi ni Michelle wa Hashycool....soon to be Michelle wa Bishanga A:yell:bashaja nitarejea :car:!

come on,check that redish thing,waaaaauuuuuuuu,ahsante Michelle!
 
Michelle, I missed you more kila Jumapili naulizwa na mchungaji, 'yuko wapi yule binti ulikuwa unakuja naye"

Please wakati uanmalizia safari na Bishanga, hebu tumalizie safari yetu ya toba kanisani.....
mmmmmhhhhhh?
 
Kaizer,ulinitenga hadi nikaogopa kuingia hapa na dhambi zangu,nikaacha ibada...you are to blame for everything...so nimlete na Bishanga aje kutubu??? Miss you more and its good to see you here this morning!!
nitubu kwa kaizer,subutuuuuuuuuuuuuu
 
nimeota mmeachana na Hashycool,bonge la ugomvi,kesho yake unanipigia unalia,nikakwambia ukitoka kazini tukutane karambezi,sea cliff,ukashuka na mkoko wako ( ML m benz),well we had a drink,ukafunguka na kunipakulia visa vyote vya HC jinsi asivyokujali,so tukaendelea na wine,and then ukaanza ku relax,i don't know ilitokeaje nikashtukia you are in my hands right in front of all patrons.......oh dear oh dear...niendelee mpaka mwisho ndoto ilivyoisha?

Mmmhhhh.....acha kumdanganya binti wa watu mbona uliniambia umemuota E wa T na ukanimalizia mwisho wa ndoto ulivyoku? Bishanga acha hizo banaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom