BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Uko vizuri Mkuu. Ahsante sana hata mimi hizi chuki kwa huyu bidada nimeshindwa kuzielewa kwa kweli lakini Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake mambo yake yanazidi kumnyokea kila kukicha na kufanya mengi tu katika kusaidia wanafamu wenzake sehemu mbali mbali.
Ujue nn, nikiona mtu anaonewa roho inaniuma sana mkuu, nashindwa kuelewa kwa nn huyu dada wa watu anachukiwa sana na wadada wa Kibongo wakati walipata nafasi kwa sukari ya warembo na wakaichezea, yeye kaitumia vizuri wanammind, hapo ndio wanaponichosha, yaani yaleyale ya King kiba kwa dangotee ,mpumzisheni jamani
