Mkuu huyu haya mambo kayakaribisha yeye mwenyewe ..laiti kama alivyokuja tz angeamua kuishi maisha yake pasipo kuwepo na mambo ya madrama drama na kubishana na watu kama kina wema haya wala yasingemkuta"" mbaya zaidi alijiingiza katika mkumbo wakujibizana na watu "" na kujiona kuwa yeye ni bab kubwa "" kuwa kwa domo amefika "" hiko ndio kitu kilichopelekea mpka leo waona watu wanamsema kiasi hiki"" wanawake always hawapendani ..so inapotokea miongoni mwa hao wanawake akajitokeza mmoja wapo akawa anajikweza mnooo"" nakuwaona wnzake kama choose lazima yatamkuta kama haya yanayomkuta huyu mama....