Michael Jackson

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
16,621
27,567
Kaonekana huko Kenya kwa mara ya kwanza
Screenshot_2018-05-10-22-44-11-1.jpg
 
Steve we ni rafiki yangu naomba usinichambee

Ujue nn, nikiona mtu anaonewa roho inaniuma sana mkuu, nashindwa kuelewa kwa nn huyu dada wa watu anachukiwa sana na wadada wa Kibongo wakati walipata nafasi kwa sukari ya warembo na wakaichezea, yeye kaitumia vizuri wanammind, hapo ndio wanaponichosha, yaani yaleyale ya King kiba kwa dangotee ,mpumzisheni jamani
 
Steve haya ,ambo tuachie sie tu,,umri umeenda steve wala hatumchukii
 
Mama Sabrina Bwana! Nimekuja Na Kasi Ya 5G Kumuona Legendary Wangu In The Blink Of An Eye Nakutana Na Hichi Kibibi Kinshupau. .

BTW, Unajua Kuenda Na Wakati.
Hahahahaha heading inatakiwa ivutie bana ili mje
Bibi tayari ,halaf hilo wigi halibadilishwii jamani
 
Ujue nn, nikiona mtu anaonewa roho inaniuma sana mkuu, nashindwa kuelewa kwa nn huyu dada wa watu anachukiwa sana na wadada wa Kibongo wakati walipata nafasi kwa sukari ya warembo na wakaichezea, yeye kaitumia vizuri wanammind, hapo ndio wanaponichosha, yaani yaleyale ya King kiba kwa dangotee ,mpumzisheni jamani
Hatumchukii jamani tunakula ubuyu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom