hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,357
- 73,208
bi chau "" haahaUsidanganywe na maneno na picha za ajabu za mitandaoni.
Huyu kama zisingekuwa pesa, saizi angekuwa bi Chau.
Achana na blaa blaa za mitandaoni.
Weka uhalisia.
Watu wanamsifia kwa kuwa kuna teams zinazoshindana.
