Sawa nanikaushaa sema siku hizi nimekuwa kikojozi kweli
Ita wote wanajua habari yangu naweza kubisha hata magu sio raisi wa nchi na nikashinda
Mama Sabrina huyo kwenye Avatar ni wewe? Afu mbona umefunga PM? Dizain kama nimekuelewa ujue...Kaonekana huko Kenya kwa mara ya kwanza
Ni mim leo nimesukaaaMama Sabrina huyo kwenye Avatar ni wewe? Afu mbona umefunga PM? Dizain kama nimekuelewa ujue...
Sijui kupenda (like)Naomba ukiwa unakuja kuchangia nyuzi zangu unalike kwanza ndio unaanza kubwabwaja
Jifanye kiburiSijui kupenda (like)
Duh! Pesa ngapi?Ni mim leo nimesukaaa
Pm unatuma kwanza pesa ndio unafunguliwa
Misimbazi 20Duh! Pesa ngapi?
Hapo ndio tunamalizana kila kitu?Misimbazi 20
Tungojee Bhasi Awe CCTV Camera Kwa Zari.@warumi kasema anataka akawe haousegirl kwa zari ili awe anatupa umbea wotee




Nasubiria kwa hamu ahahTungojee Bhasi Awe CCTV Camera Kwa Zari.![]()
Bado vingi mnoHapo ndio tunamalizana kila kitu?
Dah! Si utafilisi duka kwa hali hiyo. Mtaji wangu mdogo. Tuoneane huruma... Hiyo 200K ni nyingi mno. Nikikupatia hiyo utahusika kulipia makulaji, vinywaji, usafiri pamoja na malazi. Chenji itayobaki ndio utaondoka nayo...Bado vingi mno