Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,735
Ila kapigwa vibaya kweli japo mashavu nayo yameanza kuchuma kunde.Wala picha haijapigwa vibaya ndivyo alivyo achana na zile wanamuedit
Ila kapigwa vibaya kweli japo mashavu nayo yameanza kuchuma kunde.Wala picha haijapigwa vibaya ndivyo alivyo achana na zile wanamuedit
Hapana kapigws vizuri sema hajaeditiwa kama walivyozoea kifesi n lukamba walimuedit sanaIla kapigwa vibaya kweli japo mashavu nayo yameanza kuchuma kunde.
Wabongo kweli nuksiSasa si mwanzoni walikua wanamshobokea sababu ya Diamond. Sasa hivi hawana kazi nae masikini
Kuna watu walikuwa wanataka kutuaminisha eti mzuri sana pamoja na kuzaa timu ya basket,kumbe zile picha zinaeditiwaSasa watoto 5 lakini mnalazimisha awe msichana!
Age imekwenda kwa mwanamke.
Atulie tu ale alale na wanaye.
Japokuwa kakoleza na Make up lakini sura yajionesha live kama kazeeka.
Ukiamua kuweka maisha yako in public ukubali yatazamwe in 3D.Ujue nn, nikiona mtu anaonewa roho inaniuma sana mkuu, nashindwa kuelewa kwa nn huyu dada wa watu anachukiwa sana na wadada wa Kibongo wakati walipata nafasi kwa sukari ya warembo na wakaichezea, yeye kaitumia vizuri wanammind, hapo ndio wanaponichosha, yaani yaleyale ya King kiba kwa dangotee ,mpumzisheni jamani
Umesema kweli somo inaumiza sana.Ujue nn, nikiona mtu anaonewa roho inaniuma sana mkuu, nashindwa kuelewa kwa nn huyu dada wa watu anachukiwa sana na wadada wa Kibongo wakati walipata nafasi kwa sukari ya warembo na wakaichezea, yeye kaitumia vizuri wanammind, hapo ndio wanaponichosha, yaani yaleyale ya King kiba kwa dangotee ,mpumzisheni jamani
Unamuona kadogo jamani nilikua napata mawazo na huu ubonge wangu kumbe na yeye kibongeHapana kapigws vizuri sema hajaeditiwa kama walivyozoea kifesi n lukamba walimuedit sana
Usidanganywe na maneno na picha za ajabu za mitandaoni.Kuna watu walikuwa wanataka kutuaminisha eti mzuri sana pamoja na kuzaa timu ya basket,kumbe zile picha zinaeditiwa
Hajapishana sana na Bi SandraUsidanganywe na maneno na picha za ajabu za mitandaoni.
Huyu kama zisingekuwa pesa, saizi angekuwa bi Chau.
Achana na blaa blaa za mitandaoni.
Weka uhalisia.
Watu wanamsifia kwa kuwa kuna teams zinazoshindana.
Kuna ile video anacheza mkono mnene kama wangu kabisa jamaniUnamuona kadogo jamani nilikua napata mawazo na huu ubonge wangu kumbe na yeye kibonge
Na tutachunguza mpaka basi,hilo wigi bosslady habadili jamaniUkiamua kuweka maisha yako in public ukubali yatazamwe in 3D.
Sawa Sk nimekuelewaUsidanganywe na maneno na picha za ajabu za mitandaoni.
Huyu kama zisingekuwa pesa, saizi angekuwa bi Chau.
Achana na blaa blaa za mitandaoni.
Weka uhalisia.
Watu wanamsifia kwa kuwa kuna teams zinazoshindana.
Kazeeka maskini bi tukinao. Safari hii akipata bwana atulizane maana keshaanza kuzeeka menopause inagonga hodi
Wanavyosema.Ze boss lady
Kwa Kweli!Hahahahaha heading inatakiwa ivutie bana ili mje
Bibi tayari ,halaf hilo wigi halibadilishwii jamani



Steve we ni rafiki yangu naomba usinichambee
You are so intelligent, stay blessedSteve haya ,ambo tuachie sie tu,,umri umeenda steve wala hatumchukii
Kwenye picha heheheheh tuanze na sie shoga huu uputo haufai