whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,570
- 4,450
Kumbe make ups zinatusitiri sana . Mama wa
naona ana layers za kutosha usoni 







naona ana layers za kutosha usoni 







naona ana layers za kutosha usoni 







Uko vizuri Mkuu. Ahsante sana hata mimi hizi chuki kwa huyu bidada nimeshindwa kuzielewa kwa kweli lakini Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake mambo yake yanazidi kumnyokea kila kukicha na kufanya mengi tu katika kusaidia wanafamu wenzake sehemu mbali mbali.
kaka watu wanafurahisha baraza hapa!siku ziende!he heheeee ....naona umekuja mbio kumuona bi chausikuHahahaaaa!ndo wa kushindana na missa huyuuu!!!!si anamzaa kabisaa!
hahaaaa...hatujapishana sana mkuu""We jamaa sikujua mbea hivi haaahaaaa
Hahahahahahaahh BujibujiMbona pichani ni shangazi wa Mama Sabrina?
he heheeee ....naona umekuja mbio kumuona bi chausiku
jina la bitukinao kumbe lilimfaaaUko vizuri Mkuu. Ahsante sana hata mimi hizi chuki kwa huyu bidada nimeshindwa kuzielewa kwa kweli lakini Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake mambo yake yanazidi kumnyokea kila kukicha na kufanya mengi tu katika kusaidia wanafamu wenzake sehemu mbali mbali.
Ahahhaahahahahahah
Miaka 47 mchezooooMtaambiwa maheta jamani ila huyu Dada ni mhenga looo
Kabisaa gani menopause ishafikaMiaka 47 mchezoooo
Hatumchukiii umaarufu shida BakUko vizuri Mkuu. Ahsante sana hata mimi hizi chuki kwa huyu bidada nimeshindwa kuzielewa kwa kweli lakini Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake mambo yake yanazidi kumnyokea kila kukicha na kufanya mengi tu katika kusaidia wanafamu wenzake sehemu mbali mbali.
Hearly nakojooooooaaaaaaaaaaaaaaMkuu huyu haya mambo kayakaribisha yeye mwenyewe ..laiti kama alivyokuja tz angeamua kuishi maisha yake pasipo kuwepo na mambo ya madrama drama na kubishana na watu kama kina wema haya wala yasingemkuta"" mbaya zaidi alijiingiza katika mkumbo wakujibizana na watu "" na kujiona kuwa yeye ni bab kubwa "" kuwa kwa domo amefika "" hiko ndio kitu kilichopelekea mpka leo waona watu wanamsema kiasi hiki"" wanawake always hawapendani ..so inapotokea miongoni mwa hao wanawake akajitokeza mmoja wapo akawa anajikweza mnooo"" nakuwaona wnzake kama choose lazima yatamkuta kama haya yanayomkuta huyu mama....
JamaniiiMond alikuwa anamsahau asubuhi kabla hajaji make up akaona isiwe shida.

Nakupendaaaaaa Ray wengine wapasukeee miaka miaaaaMtaambiwa maheta jamani ila huyu Dada ni mhenga looo
Ahahahahahahahhaahaj mtaamuuua numbisa bosslafy wa jfKwani huyo ni zari au yule mama mbunge mstaafu wa bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki?
Nna mkwaraa kama founder wa jf kumamamaeeeeeee![]()
![]()
![]()
binamuuu!!!
NakunyaaaaaaaaaaaaNgoma kama hii ukitoka nayo auti kabidhi simu la wallet; bakia na hela ya kutumia tu uliyopanga, jinsi, tishet, sando na boxer maana ni vita
Zikiondolewa filter tutajionea mengi,Nashangaa ooh zari kifaa wanadanganya na picha za mtandaoni za kuedit nasikia jana kapokelewa na media kama ya lemutuz
Cc Raynavero
ila nimecheka sana leo dah 