Michael Jackson

Michael Jackson

Mj vitiligo
images%20(1).jpeg
 
Shosti naona uliniota kila nikitajwa unanyegeka bwahahahhahahah

Kimbiza uzi dada kila mtu unamquote. All tha best,muda wa kusaka pesa huu
Mdogo wake zari hahahaha ukute anamuonaga insta tu kuna watu wanajua kujipendekeza
 
Kama michael jackson asingekuwa anafanya make-up na kufanya ngozi yake ifanane basi angekuwa kama huyu dada..

Huu ni ugonjwa mmbaya sana sidhani kama kuna superstar yeyote duniani angeweza kuvumilia ili hali kazi yake ni kutumbuiza mbele ya mamilioni ya watu.

Kwa bahati mbaya wengi hawajui kuwa Michael alikuwa na vitiligoView attachment 773346
Ahhahahahaah kumbee
 
Ahsante Kwa Darasa Mkuu. MJ Wanamuonea Sana Kwenye Suala La Ngozi.

My King Of All Time In Music Industry.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom