Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,309
hujambo mamitoo.
muda kidogo sjakuona..
nilikuwa nimewekwa kinyumba...nw m free n bak
hujambo mamitoo.
muda kidogo sjakuona..
kiukweli kina mama huwa tunawaingiza kwenye mauchungu mengi,nyie tusameheni tu bure.Wala hamjavamiwa kipenzi ndio jinsi mlivyo haswaaaa wala hajakosea tena kuna mengi tu yameachwa mimi nikiongezea yana nikumbusha machungu tu.
Na nyie wanaume mnaojisifia kuwa mnapenda sana familia zenu ndio wakuogopwa mno,mnapenda kujitutumua mbele za watu wakati ni uongo mtupu!!!!
kudadadeki....print umpelekee huko huko aliko,mwambie kuna baba mmoja anaitwa Bishanga Abashaija kanipa nikuletee,and then check his reaction akishasoma.
hayo ndo maneno Mr Rocky,big up!Wise say mkuu na huu ni ukweli maana najua na naamini hakuna hata mmoja ambaye ni perfect
Ila hii thread isaidie kutubadilisha na kuyaangalia ni yapi tunafanya ambayo kwa wake zetu na familia zetu yanawakwaza
na ni wapi tumerudi nyuma katika kuheshimu na kuziona ndoa zetu za maana na kuwaona kama wake zetu ni watumwa wetu au watu wasio na hisia
Au ule ukuu wa familia tumeutumia isivyo kwa kuwa zaidi dictator zaidi ya baba
na wadada wengi watakutafutaMkuu Bishanga hii ndo namna mpya ya utongozaji hapa jamvini ama kuna kitu sielewi!?
Mkuu Bishanga hii ndo namna mpya ya utongozaji hapa jamvini ama kuna kitu sielewi!?
salute, salute , salute.......................dah unastahili maji ya kilimanjaro makubwa kwa bill yangu.
hayo ndo maneno Mr Rocky,big up!
achana nao hao hawantishi,waende wakajiangalie kwenye kioo kisha warudi kwenye hii mada ndo warushe post.Bishanga
Naona leo umemaliza kila kitu; yaani hata kama wewe unafanya japo mawili kati ya hayo at least u r aware of the consequences zake so l think u r a bit considerate!
Pole na mawe ya midume myenzio!
Kakimbia babu hayupo!kwa raha zenu,acha kina Aspirin wavimbe wapasuke.