Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,113
- 18,329
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.
Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.
Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.
Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.
Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.
Heri ya Mwaka Mpya.