Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Yaani nyani mzee kakwepa mishale mingi hilo tukubali.Ukizingatia vijana wa miaka hii sio sawa na wa miaka ile.
Imagine Nyerere kwa umri kama wa Mwijaku alikuwa waziri mkuu. Sasa vuta picha je, Mwijaku anaweza kuwa waziri mkuu pamoja na kuwa ni msomi wa masters!
Eti tunampa Urais kijana wa miaka35!
Labda kama tumeichoka kabisa nchi.