Machineries za kumuweka sawa Rais wa hivyo kuwa Rais anayefaa zipo. Vinginevyo, tujadili hizo machineries kama ndizo za hovyo, na tufikirie plan na utekelezaji wa kuzirekebisha ziwe zinazofaa.Sasa kama mmepata Rais wa hovyo, hiyo miaka 7 itakuaje?
🚮🚮🚮Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.
Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.
Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.
Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.
Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.
Heri ya Mwaka Mpya.
Watanzania wote tuna nafasi ya kuongoza, miaka 4 ni mingi sana kwa Rais anaye jitambuaMachineries za kumuweka sawa Rais wa hivyo kuwa Rais anayefaa zipo. Vinginevyo, tujadili hizo machineries kama ndizo za hovyo, na tufikirie plan na utekelezaji wa kuzirekebisha ziwe zinazofaa.
Sasa ukiwa mhula mmoja tu, mtu akipata nafasi hiyo hatafanya lolote, zaidi yakurudisha pesa alizohonga kofia na kangaUna hoja nzuri na Ubunge uwe mhula mmoja tu wa 4yrs ili watu wapunguze kulogana.
Miaka 7 imekuwa ndoa ? Miaka 5 tu angalia inavyotutesa halafu ukaongeze 2 ? Hapana afadhali ipunguzweHapana...! Miaka mitatu huwezi kufanya kitu chakueleweka na kikasimama. Vinginevyo, Urais iwe symbolic title tu, hivyo tubadili katiba na tuwe na msimamizi Mkuu wa masuala ya serikali kwa muda huo nilotaja wa miaka 7 ikijumuisha kuandaa serikali kufanya kazi, kukabidhi madaraka na masuala ya Uchaguzi.
Chaguzi za mara kwa mara (Tena ndani ya muda mfupi) ni ufujaji wa fedha za maendeleo ya watu kwa kisingizio cha gharama ya demokrasia. Na fedha hizi zikikusanywa za uchaguzi nyingi zinasombwo na kwenda kuwekezwa Nje ya nchi. Sasa inamaana gani kwa Wananchi wanaolitumikia Taifa kwa uaminifu?
Rejea majukumu ya Rais kwenye Katiba. Kisha upime kama hiyo miaka miwili (kama unataka muhula wa miaka 4) inatosha. Ukipendeza miaka minne maana yake unapendekeza Rais kufanya kazi miaka 2 effectively; endapo utazingatia sababu nilizotoa katika mabandiko yangu yaliyopita kwenye uzi huu.Watanzania wote tuna nafasi ya kuongoza, miaka 4 ni mingi sana kwa Rais anaye jitambua
Mitano haitutesi....bali machineries ndiyo uzilaumu kama Kuna mateso umeyabaini !!!Miaka 7 imekuwa ndoa ? Miaka 5 tu angalia inavyotutesa halafu ukaongeze 2 ? Hapana afadhali ipunguzwe
Lengo watu wasifanye Siasa kuwa Ajira watu wafikirie kuwa HUDUMA.Sasa ukiwa mhula mmoja tu, mtu akipata nafasi hiyo hatafanya lolote, zaidi yakurudisha pesa alizohonga kofia na kanga
Tubadiri= tubadili, Hoja yako ina mashiko, kwa huu uongozi mbovu wa maza mi natama iwe miaka 2 na nusu tuKadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.
Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.
Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.
Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.
Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.
Heri ya Mwaka Mpya.
Hawajui kuwa mambo ya kiserikali si kama shule wala kijiji kwamba uamke tu na uanze utekelezaji wa mambo bali kuna sheria na milolongo ya kufuata ili kumanage mipangilio mizima ya mambo kitaifa inatakiwa kwenda vipi.Siungi Mkono kupunguza muhula wa Rais bali nashauri uongezwe hadi miaka Saba.
Mwaka mmoja wa kuandaa serikali kufanya kazi, mwaka mwingine wa kuandaa kukabidhi serikali na maandalizi ya chaguzi. Miaka mitano kamili kwa ajili ya kutekeleza kwa uaminifu mkubwa ahadi alizoaihidi kwa wale waliomuamini na kumpa madaraka.
Asante sanaHawajui kuwa mambo ya kiserikali si kama shule wala kijiji kwamba uamke tu na uanze utekelezaji wa mambo bali kuna sheria na milolongo ya kufuata ili kumanage mipangilio mizima ya mambo kitaifa inatakiwa kwenda vipi.
Huwezi ku-skip michakato ya maendeleo kwa visingizio vya muda, hapo ni kuharibu mambo, hata hayo mataifa tajiri yalijijenga kwanza kupitia uongozi wa muda mrefu na baadae baada ya kufikia pazuri ndipo wakaanza kuzingatia hiyo demokrasia uchwara ya kupokezana uongozi, ambayo kimsingi haina maana kwa maendeleo bali ni ucheleweshaji wa maendeleo kwakuwa kila mtawala atakuwa anatawala kwa ideology yake na kuipinga ya mwenzake ama kuvuruga mambo aliyoyakuta kwa kuona hayafai na kuanzisha yake, jambo linalochelewesha maendeleo.
Demokrasia haiwezi kuleta maendeleo afrika kamwe.
Haaaa.. nani wa kumpeleka.. hiyo miaka 8 si atafuta kabisa na mahakama zote akijua ameborongaNapendekeza iwe 8 kabisa na asigombee awamu 2. Akimaliza 8 asepe kuepuka gharama za uchaguzi na akiboronga baada ya hiyo 8 aishie Kisutu then Segerea.