Akifuta Mahakama ni sehemu ya kuboronga.Haaaa.. nani wa kumpeleka.. hiyo miaka 8 si atafuta kabisa na mahakama zote akijua ameboronga
[emoji1][emoji1][emoji1]Yaani nyani mzee kakwepa mishale mingi hilo tukubali.
Eti tunampa Urais kijana wa miaka35!
Labda kama tumeichoka kabisa nchi.
Umetolea mifano wa Marekani wa miaka minne minne, lakini kwenye ukomo wa umri hujamsema ni mfano kutoka nchi gani maana Marekani hawana ukomo ndio maana Trump na Biden wanagombea na Wana zaidi ya miaka 80!Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.
Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.
Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.
Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.
Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.
Heri ya Mwaka Mpya.
Hata USA hapo kwenye umri wamebugiUmetolea mifano wa Marekani wa miaka minne minne, lakini kwenye ukomo wa umri hujamsema ni mfano kutoka nchi gani maana Marekani hawana ukomo ndio maana Trump na Biden wanagombea na Wana zaidi ya miaka 80!
Ahahahahaha! Ila Wana kamsemo kao eti, "age ain't a thing, but a number! Ahahahahaha!!!Hata USA hapo kwenye umri wamebugi
Sio tu mawazo mapya,hata muda wakujifunza kula kwa urefu wa kamba utakuwa haupo😁Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.
Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa miaka 5 uwe wa miaka 4 kama ilivyo USA na vipindi viwili vibakie kama vilivyo sasa.
Na umri wa kuwa Rais uanzie miaka 35 badala ya 40 na mwisho kugombea Urais iwe miaka 60 kama anagombea kwa mara ya kwanza.
Mabadiriko yoyote ya katiba yasifanyike kama bunge linalo takiwa kufanya mabadiriko yoyote ya kuongeza muda wa kukaa madarakani halina 40% ya wabunge wa upinzani.
Pia Makama wa Rais asiruhusiwe kuongoza nchi zaidi ya mwaka 1 kama ikitokea Rais anafariki.. baada ya mwaka mmoja uchaguzi unatakiwa kuitishwa haraka.
Heri ya Mwaka Mpya.
Kupata Kichekeshokama hiki andika happy new Yr kwenda namba 2024Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.