Miaka mitatu ya jasho kwenye Forex na ukweli mchungu niliojifunza, still 'GAME ON'!

Kwa msingi huo, hivi kuna tofauti ya msingi kati ya Forex na Betting katika kuvuna na kuliwa pesa? Maana kote huko naona Odds, analysis, kuvuna na kuliwa.

Pamoja na ujanja wangu wote wa kimaisha, mpaka leo hii sijawahi kucheza bahati nasibu, Kamari, Kubet wala Forex. Hivyo vitu ninaviogopa kama ukoma. Yaani ni bora nikalime bangi (maana kwetu ni mboga ya asili) au mirungi, maana najua nitavuna tu!
 
Ukiwa na account ya usd 20000 unaweza ukatengeneza faida ya usd 3000 within a day depending a pair volatility and experience. Lakini pia unaweza kutengeneza loss ya usd 3000 hiyo hiyo. Hapo ndio fx utaiona mavi.
Sio 3000 tu, inaweza ikatumbukia yote 20000 na usipate hata pa kwenda kushitaki, utadata!
 
Uko sahihi 100%
 
Naona unajigamba kwa ukongwe wako wa miaka 13. Ila usitudharau na sisi juniors, kumbuka kwenye hii biashara 'numbers' ndo zina matter, utakuwa umenielewa.

Hapo kwenye strategy upo sahihi, kila mtu ambaye anadumu kwenye hii biashara mwisho wa siku huishia kuwa na strategy ambayo anaona itamsaidia. (Ni muhimu sana kuwa na strategy)
 
Haya Sasa Kumekucha!!! Amkeni
Atalia Mtu Sasa Hivi
Nani atapigwa mkuu? unadhani nimeleta huu uzi kuwatapeli watu?

Just refer point namba tatu na namba mbili 'Self learning is the key'

Tujaribu wakati mwingine kuwa positive kidogo. Kama upo hapa JF na negative mind utakuwa discouraged sana maana utapinga kila kitu, vitu vingine ambavyo hata havikuhitaji kupinga.

Great thinkers huwa hatupingi, bali tunatoa mawazo mbadala. Au kama unapinga, pinga kwa kuleta hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…