Miaka ile tunasoma Shaban Robert. Siwezi isahau

Wale walikuwa wanazimia sana na swaga zangu za kimarekani. Halaf mbabe flan hiv kiasi pia mpole kwa mademu. Nmegonga wa kiarabu na wakihindi mpaka kaka zao wakawa wananichukia sana.

Tena nmewagongea maeneo ya coco beach kule juu kwenye miti miti na sometme kwenye gari.

Mi nilikuwepo AL muntazir Islamic seminary, vipi uliwagonga wale watoto wa kiarabu
 
Sikukatazi kuamini hivyo. Na sihitaj kukuthibitishia. Maana ukiamini hivyo haipunguzi kitu kwangu. Nmefanya flashback ya tukio hilo tu. But nikijitambulisha hapa watu wengi watakwambia wananifaham na kitu ambacho sitak. Nataka nibak gudume tu nisiyefahamika maana ninaheshimika sana huku nliko.

Hahaha mleta mada sio product ya Shebby sema umechangamsha jukwaa
 
Sikukatazi kuamini hivyo. Na sihitaj kukuthibitishia. Maana ukiamini hivyo haipunguzi kitu kwangu. Nmefanya flashback ya tukio hilo tu. But nikijitambulisha hapa watu wengi watakwambia wananifaham na kitu ambacho sitak. Nataka nibak gudume tu nisiyefahamika maana ninaheshimika sana huku nliko.
Hahaha sawa mkuu
 
Duh, umenikumbusha my school. By the way aliyesema hii ni shule ya waliyo fail si kweli. Mimi nilivyomaliza la saba nilfanya interview za private school mbili tu, S.R.S.S na Mzizima na zote nilipata admission. Na Serikalini nilichaguliwa Zanaki Sec (which was my first choice). Basi kwa kuwa nilifaulu everywhere washua wakanipa option ya kuchagua pakusoma ndio nikachagua SRSS because ya food evening 😉 !

Hihihihihi - SRSS ilikuwa ni ya waliofeli - usibishe. Waliokuwa na scenario kama yako ni wachache sana.
 
Wale walikuwa wanazimia sana na swaga zangu za kimarekani. Halaf mbabe flan hiv kiasi pia mpole kwa mademu. Nmegonga wa kiarabu na wakihindi mpaka kaka zao wakawa wananichukia sana.

Tena nmewagongea maeneo ya coco beach kule juu kwenye miti miti na sometme kwenye gari.
Hahaaa!!!! Mwisho wake ilikuaje
 
Shaban robert hawakuwa wanaenda waliofail. Walikuwa wanaenda wenye uwezo na akili pia. Mimi nlifaulu kwenda tambaza. Mzee hakutaka nisome tambaza maana hata primary sikusoma hiz za kukaa chini. So ikawa ni mwendelezo tu.

Hihihihihi - SRSS ilikuwa ni ya waliofeli - usibishe. Waliokuwa na scenario kama yako ni wachache sana.
 
Shaban robert hawakuwa wanaenda waliofail. Walikuwa wanaenda wenye uwezo na akili pia. Mimi nlifaulu kwenda tambaza. Mzee hakutaka nisome tambaza maana hata primary sikusoma hiz za kukaa chini. So ikawa ni mwendelezo tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Shaban robert hawakuwa wanaenda waliofail. Walikuwa wanaenda wenye uwezo na akili pia. Mimi nlifaulu kwenda tambaza. Mzee hakutaka nisome tambaza maana hata primary sikusoma hiz za kukaa chini. So ikawa ni mwendelezo tu.

Hahahahaha - GuDume usitupige Fix - Performance ya Tambaza ilikuwa inaeleweka; hauwezi kuifanisha hata kidogo na Shaaban Robert. Tambaza ilikuwa inashindana na Azania. Shaaban Robert 90% ilikuwa Div IV na 0. Div III na II zilikuwa za kutafuta saaaana. Sasa huo ndio Uwezo na AKili?
 
Duh, umenikumbusha my school. By the way aliyesema hii ni shule ya waliyo fail si kweli. Mimi nilivyomaliza la saba nilfanya interview za private school mbili tu, S.R.S.S na Mzizima na zote nilipata admission. Na Serikalini nilichaguliwa Zanaki Sec (which was my first choice). Basi kwa kuwa nilifaulu everywhere washua wakanipa option ya kuchagua pakusoma ndio nikachagua SRSS because ya food evening 😉 !

Yup...kweli.

Hata mimi nilisoma hapo kwa sababu sikutaka kwenda shule ya boarding ambako ndo nilifaulu kwenda.

Nilifanya mtihani wa kujiunga SRSS na Mzizima na nikachaguliwa kote na mimi nikachangua SRSS kwa sababu ilikuwa 'a cool school'.

And to put the cherry on top...I was put in the Ruby house...which I thought was the coolest.

Na matokeo ya form 4 yalipotoka nikaondoka na division 1 yangu ya nguvu.

Hivyo si kweli kwamba ilikuwa ni shule ya watu walofeli tu.

Wengine hatukutaka kwenda kwenye mashule ya serikali huko mikoani na sijutii kabisa uamuzi wangu.
 
Watoto wa kishua mlitisha saana. Ila tatizo wengi wenu mlilost; haswa baada ya wazee wenu kustaafu - hebu tuambie kama wewe uko wapi siku hizi???? Bado unayaweza hayo ya kushindana kwa kubadilisha magari - ambayo sasa inabidi yatoke kwenye mfuko wako????

Mimi nipo USA na nipo kwenye corporate America muda mrefu tu sasa.

Maisha yanaenda vizuri tu.

Take that...Morgan Stanley baby.....

20170609_130959.jpg
 
Enzi hizo kwa sisi tuliosoma pale Azaboy ikikuwa ukiletwa skonga na gari unaonekana mtoto wa mama sana.. Wakishua hata walikuwa wakiletwa na mandinga wanashushwa faya au kule muhimbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom