Miaka ile tunasoma Shaban Robert. Siwezi isahau

Miaka ile tunasoma Shaban Robert. Siwezi isahau

Hahaha - unaona sasa?? Nilikwambia. Head Master wenu alikuwa nani vile?? Mi nilipita hapo miaka ya 83 - nikafanya interview - na kuchaguliwa kujiunga form one mwaka 1984 - bahati nzuri nikachaguliwa kwenda shule ya sekondari ya serikali - hivyo nikawapiga chini hao WADOSI hapo.
Coleth Kunjunjama
 
Yup...kweli.

Hata mimi nilisoma hapo kwa sababu sikutaka kwenda shule ya boarding ambako ndo nilifaulu kwenda.

Nilifanya mtihani wa kujiunga SRSS na Mzizima na nikachaguliwa kote na mimi nikachangua SRSS kwa sababu ilikuwa 'a cool school'.

And to put the cherry on top...I was put in the Ruby house...which I thought was the coolest.

Na matokeo ya form 4 yalipotoka nikaondoka na division 1 yangu ya nguvu.

Hivyo si kweli kwamba ilikuwa ni shule ya watu walofeli tu.

Wengine hatukutaka kwenda kwenye mashule ya serikali huko mikoani na sijutii kabisa uamuzi wangu.

Umm sir, Ruby never won anything! Topaz all the way....😉
 
Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini ...

.
Mzizima.jpg
 
Vipi babako alishafulia nini? Unatusumbua sana na comment za kijinga, wala ulikuwa unasoma Lake Secondary na huyo alikuwa mtoto wa fimbo ya mnyonge, acha kujipa promo za kijinga
 
Nimekaa tu nikakumbuka visa na mikasa ya wanafunzi tuliokuwa tunasoma Shaban Robert. Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini kwa kuonekana ni mambo safi na pia ngeli ndo home kwake. Nakumbuka tulivyokuwa tunashindana na watoto wa kidosi kwa kila kitu.

Jamaa ilikuwa tukianza kushindana kwa magari basi ni kushindana ile mbaya hasa watoto ambao hali ya kwao ilikuwa si stable sana waliishia kuacha shule maana walikuwa wanashindwa music wa pale.

Jamaa mmoja katika kushindana kuja na magari ndo aliua kabisa alipokuja na kichwa ha scan shuleni. Yule bwana mdogo wa kihindi alikuwa ameshabadilisha magari mpaka basi.

Siku hiyo akaja na kile kichwa kipisi cha scania mpya akafunguliwa geti na mlinzi hakujua kuwa ni dent Baadaye anashuka toka kwenye gari na begi kile kipande amekipark pembeni tena alikuja wakati watu hawajaingia darasani. ilikuwa gumzo. Ndo jamaa wakakoma naye. Yale maisha yalikuwa na raha yake.
Una uhakika?
 
we ulichoandika unakielewa kweli? duuh, nyie ndo mnsababisha walimu wa sasa waonekane hawafanyi kazi. nimesomea post yako hata hueleweki na hapo umeandika Kiswahili lugha yako ya kila siku. kwa nini wewe umechagua kurithi upumbavu?
 
zao la shule za kata hili!. ha ha ha
Vipi babako alishafulia nini? Unatusumbua sana na comment za kijinga, wala ulikuwa unasoma Lake Secondary na huyo alikuwa mtoto wa fimbo ya mnyonge, acha kujipa promo za kijinga
 
Dah nakumbuka nlisdpa hyo skuli Lisa Yale maisha nkicheki him Mzee ana Benz lake hagus MTU, bro ndinga lake ndo nlikuwa nadundia SKU moja moja
 
Duh, umenikumbusha my school. By the way aliyesema hii ni shule ya waliyo fail si kweli. Mimi nilivyomaliza la saba nilfanya interview za private school mbili tu, S.R.S.S na Mzizima na zote nilipata admission. Na Serikalini nilichaguliwa Zanaki Sec (which was my first choice). Basi kwa kuwa nilifaulu everywhere washua wakanipa option ya kuchagua pakusoma ndio nikachagua SRSS because ya food evening 😉 !
Kama uli-opt S.R.S.S because of food,kweli mlikuwa vilaza wa kutupwa,na akili zenu hazikomai katu muone nduguyo mtoa mada anataka baba yake AFE,SAAAAD[emoji24]
 
Kama uli-opt S.R.S.S because of food,kweli mlikuwa vilaza wa kutupwa,na akili zenu hazikomai katu muone nduguyo mtoa mada anataka baba yake AFE,SAAAAD[emoji24]
Kilaza wewe ambaye probably ulikuwa na "0" option! Not that I need to justify my choices to you but just an fyi .....
  • Mimi 'O' level nilipata Division 1 . 'A' level nilipata Division 2 (actually it was because nilikuwa na penalty ya BAM, otherwise point zangu zilikuwa za Division 1)
  • .....and yes nilichaguliwa UD, ila I opted out and did my Uni abroad instead! So sir, you can suck it!!!
 
Mimi mhenga enzi hizo nikikaribia shule naficha viatu vichakani maana hadi waalim walikuwa na viatu matairi ya gari . Viatu bora mlitisha.
 
Nimekaa tu nikakumbuka visa na mikasa ya wanafunzi tuliokuwa tunasoma Shaban Robert. Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini kwa kuonekana ni mambo safi na pia ngeli ndo home kwake. Nakumbuka tulivyokuwa tunashindana na watoto wa kidosi kwa kila kitu.

Jamaa ilikuwa tukianza kushindana kwa magari basi ni kushindana ile mbaya hasa watoto ambao hali ya kwao ilikuwa si stable sana waliishia kuacha shule maana walikuwa wanashindwa music wa pale.

Jamaa mmoja katika kushindana kuja na magari ndo aliua kabisa alipokuja na kichwa ha scan shuleni. Yule bwana mdogo wa kihindi alikuwa ameshabadilisha magari mpaka basi.

Siku hiyo akaja na kile kichwa kipisi cha scania mpya akafunguliwa geti na mlinzi hakujua kuwa ni dent Baadaye anashuka toka kwenye gari na begi kile kipande amekipark pembeni tena alikuja wakati watu hawajaingia darasani. ilikuwa gumzo. Ndo jamaa wakakoma naye. Yale maisha yalikuwa na raha yake.
Oc once a shabanian always a shabanian , i miss my old school , nimesoma form 1 had dorm 5 nikahamia Al muntazir , our Motto " STRIVE FOR EXCELENCE " i was in TOPAZ house, mambo kama hayo uliyosema mkuu ni kweli hata mimi nilikuwa napenda hahahahaha
 
Back
Top Bottom