Miaka ile tunasoma Shaban Robert. Siwezi isahau

Miaka ile tunasoma Shaban Robert. Siwezi isahau

I bet GuDume unaota, angalia yule beki tatu asije akafanye yake
 
yaani katika jambo ambalo linanisumbua kichwa ni hilo ndugu yangu. mzee kagoma kabisa ku danja. sijui ni nini? inawezekana kwenye ukoo wao wana laana. maana babu yetu yupo mpaka sasa yupo na hana jino hata moja. na mzee naye amegoma kabisa. wenzake weni wamewahi mbele. yeye kakomaa tu... nmeshahangaika sana kwa waganga...ila yeye ndo naona anakuwa fresh tu. nlitaman sana adanje hata leo mi nimiliki issue zake. bado tu ndugu yangu naendelea kumwomba mungu nipate mirath yangu mapema.

mkuu ila na wewe sasa hivi upo vizuri si ukute unasubiria mzee akufe
 
yaani katika jambo ambalo linanisumbua kichwa ni hilo ndugu yangu. mzee kagoma kabisa ku danja. sijui ni nini? inawezekana kwenye ukoo wao wana laana. maana babu yetu yupo mpaka sasa yupo na hana jino hata moja. na mzee naye amegoma kabisa. wenzake weni wamewahi mbele. yeye kakomaa tu... nmeshahangaika sana kwa waganga...ila yeye ndo naona anakuwa fresh tu. nlitaman sana adanje hata leo mi nimiliki issue zake. bado tu ndugu yangu naendelea kumwomba mungu nipate mirath yangu mapema.
akidanja anadanja na mali zake tafuta zako
 
Watu wote n sawa ila maisha ndio ututofautisha mkuu nimepata elimu kwa shida sana n siri yang Na Mungu Wang!
 
ha ha ha..umepita pale?????????????? aiseee... mimi ni mzee wa kale. mhenga. miaka hiyo ndo shule ya maana sana ukitoa tanganyika school. kabla ya hizi shule zenu za watakatifu. iliakuwa imeanza anza loyola ndo nayo angalau ilikuwa si mbaya sana.
Acha hizo wewe...wakati huo shebby robby wanaenda waliofeli!
 
Hahaha - unaona sasa?? Nilikwambia. Head Master wenu alikuwa nani vile?? Mi nilipita hapo miaka ya 83 - nikafanya interview - na kuchaguliwa kujiunga form one mwaka 1984 - bahati nzuri nikachaguliwa kwenda shule ya sekondari ya serikali - hivyo nikawapiga chini hao WADOSI hapo.
Yes..hata mimi nilipata nafasi matokeo yalivyotoka nikakataa kusoma shule ya 'waliofeli'
 
NYIE NDIYO MKIPEWA VYEO serikalini HUKO, MNAULIZA 'KUMBE KUNA TATIZO LA AJIRA?'

CC. Kigwangalla
 
Nakumbuka Enzi hizo kule K.njaro watoto wa DSM kule kibohehe, Killy Boys na Kolila walitutisha sana watoto wa wakulima wa kahawa, kusifia makwao, kujifanya wana fedha na kutuona washambaaaaaa! Ila leo hii wengi wao wamepigika sana huku mjini na huja kutu-bomu kwa sana hadi kero. Kumbe hata wazazi wao hawakuwa na uwezo bali misifa tu. leo hii sie ndio ma-maboss wao! kudadadek!
 
ha ha ha..umepita pale?????????????? aiseee... mimi ni mzee wa kale. mhenga. miaka hiyo ndo shule ya maana sana ukitoa tanganyika school. kabla ya hizi shule zenu za watakatifu. iliakuwa imeanza anza loyola ndo nayo angalau ilikuwa si mbaya sana.
We taja mwaka tu! Ukute tunajuana asee
 
Back
Top Bottom