Miaka ile tunasoma Shaban Robert. Siwezi isahau

sik zote nimebaki kuwa na MTIZAMO HURU. katika kila jambo. hulitizama kwa jicho moja. so mtizamo wangu unaweza kukupa shida sana. waliokuwa na mtizamo wa kishule ni wao..mimi nimebaki na mtizamo wangu baada ya kumaliza shule. na hujajua nimesoma vyuo gani.

Acha hizo wewe...wakati huo shebby robby wanaenda waliofeli!
Kidogo nimeshindwa kuufananisha mtazamo wako katika Thread hii
Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho. na historia yako kielimu hasahasa hapo Shaaban Robert
historia ya hii shule inafahamika sawia, na waliopitia hii shule wanafahamika kimtamzamo. Kuna moja kati ya hizi thread mbili haikuwa na nia tuliyo/tunayo idhania.
 
...mlikuwa mabitoz na masistaduu empty-headed!
..nimejifariji tu,
.si kwa misifa hiyo dadeki!
 
sik zote nimebaki kuwa na MTIZAMO HURU. katika kila jambo. hulitizama kwa jicho moja. so mtizamo wangu unaweza kukupa shida sana. waliokuwa na mtizamo wa kishule ni wao..mimi nimebaki na mtizamo wangu baada ya kumaliza shule. na hujajua nimesoma vyuo gani.
Ile ilikuwa akili ya la saba kwenda form 1.
 
Daaah, jf kuna wazee asee!
Yani miaka inayozungumziwa Mimi sijazaliwa wakati leo hii na miaka yangu32 najiona Mzee.
32 inamaana umezaliwa 1985. Gudume anazungumzia 90-2000.
 
Nimekaa tu nikakumbuka visa na mikasa ya wanafunzi tuliokuwa tunasoma Shaban Robert. Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini kwa kuonekana ni mambo safi na pia ngeli ndo home kwake. Nakumbuka tulivyokuwa tunashindana na watoto wa kidosi kwa kila kitu.

Jamaa ilikuwa tukianza kushindana kwa magari basi ni kushindana ile mbaya hasa watoto ambao hali ya kwao ilikuwa si stable sana waliishia kuacha shule maana walikuwa wanashindwa music wa pale.

Jamaa mmoja katika kushindana kuja na magari ndo aliua kabisa alipokuja na kichwa ha scan shuleni. Yule bwana mdogo wa kihindi alikuwa ameshabadilisha magari mpaka basi.

Siku hiyo akaja na kile kichwa kipisi cha scania mpya akafunguliwa geti na mlinzi hakujua kuwa ni dent Baadaye anashuka toka kwenye gari na begi kile kipande amekipark pembeni tena alikuja wakati watu hawajaingia darasani. ilikuwa gumzo. Ndo jamaa wakakoma naye. Yale maisha yalikuwa na raha yake.
Mi nilikuwepo AL muntazir Islamic seminary, vipi uliwagonga wale watoto wa kiarabu
 
Hahaha - unaona sasa?? Nilikwambia. Head Master wenu alikuwa nani vile?? Mi nilipita hapo miaka ya 83 - nikafanya interview - na kuchaguliwa kujiunga form one mwaka 1984 - bahati nzuri nikachaguliwa kwenda shule ya sekondari ya serikali - hivyo nikawapiga chini hao WADOSI hapo.
Duuh ya kweli haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa tu nikakumbuka visa na mikasa ya wanafunzi tuliokuwa tunasoma Shaban Robert. Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini kwa kuonekana ni mambo safi na pia ngeli ndo home kwake. Nakumbuka tulivyokuwa tunashindana na watoto wa kidosi kwa kila kitu.

Jamaa ilikuwa tukianza kushindana kwa magari basi ni kushindana ile mbaya hasa watoto ambao hali ya kwao ilikuwa si stable sana waliishia kuacha shule maana walikuwa wanashindwa music wa pale.

Jamaa mmoja katika kushindana kuja na magari ndo aliua kabisa alipokuja na kichwa ha scan shuleni. Yule bwana mdogo wa kihindi alikuwa ameshabadilisha magari mpaka basi.

Siku hiyo akaja na kile kichwa kipisi cha scania mpya akafunguliwa geti na mlinzi hakujua kuwa ni dent Baadaye anashuka toka kwenye gari na begi kile kipande amekipark pembeni tena alikuja wakati watu hawajaingia darasani. ilikuwa gumzo. Ndo jamaa wakakoma naye. Yale maisha yalikuwa na raha yake.
Ok.
 
Duh, umenikumbusha my school. By the way aliyesema hii ni shule ya waliyo fail si kweli. Mimi nilivyomaliza la saba nilfanya interview za private school mbili tu, S.R.S.S na Mzizima na zote nilipata admission. Na Serikalini nilichaguliwa Zanaki Sec (which was my first choice). Basi kwa kuwa nilifaulu everywhere washua wakanipa option ya kuchagua pakusoma ndio nikachagua SRSS because ya food evening 😉 !
 
Daah! Umenikumbusha enzi za food evening tulikua tunavizia totoz za shebby
 
Back
Top Bottom