Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,709
- 36,166
AhahahahahaMi nadhani hapo ungeongeza na CCCM kwenye hayo maradhi ingekaa poa zaidi...
Tahadhari Sichangii kwa itikadi za kisiasa bali kama mwafrica.
Swali;
Nchi gani Africa ambayo haiongozwi na ccm imeendelea kuliko nchi yoyote Africa na ambayo inaweza kulinganishwa na nchi mojawapo nje ya Africa...?
Nchi gani ndani ya Africa ambayo haiongozwi na ccm imefanikiwa kuondoa Ujinga, maradhi na umasikini kuliko nchi nyingine yoyote ndani ya africa?
Nijibu tafadhali.
wapi nimesema wasipewe chama kingine?Miaka 59 imetosha wapewe chama kingine tuone nao watafanya nn...
Wapi nimesema zinatawaliwa na ccm?Hizo nchi zingine zinatawaliwa na CCM?... Jibu hoja.
Naunga mkono hojaKufaidi keki ya taifa ni suala.ya serikali inayotawala kuhakikisha maendeleo yanakuwa diversified. Hii ni kuhakikisha kuwa kila sehemu ya nchi yetu inapata maendeleo kwa usawa na kwa uwiano unaotakiwa bila ubaguzi.
Leo hii Ccm baada ya kutawala kwa miaka 60 hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ni mbaya na inatia huruma.
Ccm peke yao ndio wanafaidi matunda ya taifa letu, huku wananchi wa kawaida tukiteseka. Kila kitu ni kwa wanaCcm vigogo ambao wanakula keki ya taifa kama mali yao.
Ili kukabiliana na huu uonevu wa Ccm tunakiwq kama watanzania kufanya mapinduzi ndani ya mioyo yetu na kuikataa Ccm. Mapinduzi sio kushika bunduki na kuondoa madhalimu bali ni kubadilika na kuwakataa kwa kila namna.
Lack of educationUnajiropokea tu, unajua hao wataopindua watakuwa na nia gani?
Sukuma gang umepokonywa keki unabwabwaja miaka 5 ya nyuma full kumsifia hayati leo umepokonywa keki unalia?acha usen**** kama unabisha ntascreenshort jumbe zako nizitume humu kama hukuwa praise teamKufaidi keki ya taifa ni suala la serikali inayotawala kuhakikisha maendeleo yanakuwa diversified. Hii ni kuhakikisha kuwa kila sehemu ya nchi yetu inapata maendeleo kwa usawa na kwa uwiano unaotakiwa bila ubaguzi.
Leo hii Ccm baada ya kutawala kwa miaka 60 hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ni mbaya na inatia huruma.
Ccm peke yao ndio wanafaidi matunda ya taifa letu, huku wananchi wa kawaida tukiteseka. Kila kitu ni kwa wanaCcm vigogo ambao wanakula keki ya taifa kama mali yao.
Ili kukabiliana na huu uonevu wa Ccm tunakiwa kama watanzania kufanya mapinduzi ndani ya mioyo yetu na kuikataa Ccm. Mapinduzi sio kushika bunduki na kuondoa madhalimu bali ni kubadilika na kuwakataa kwa kila namna.
Ni kweli kabisa na .apinduzi yetu wala sio ya vita na mitutu. Katiba Bora na Mpya ndio mwarobaini.Kufaidi keki ya taifa ni suala la serikali inayotawala kuhakikisha maendeleo yanakuwa diversified. Hii ni kuhakikisha kuwa kila sehemu ya nchi yetu inapata maendeleo kwa usawa na kwa uwiano unaotakiwa bila ubaguzi.
Leo hii Ccm baada ya kutawala kwa miaka 60 hali ya maisha ya wananchi wa kawaida ni mbaya na inatia huruma.
Ccm peke yao ndio wanafaidi matunda ya taifa letu, huku wananchi wa kawaida tukiteseka. Kila kitu ni kwa wanaCcm vigogo ambao wanakula keki ya taifa kama mali yao.
Ili kukabiliana na huu uonevu wa Ccm tunakiwa kama watanzania kufanya mapinduzi ndani ya mioyo yetu na kuikataa Ccm. Mapinduzi sio kushika bunduki na kuondoa madhalimu bali ni kubadilika na kuwakataa kwa kila namna.
Wanaanza kuelewa sasa tuliposema katiba bora na mpya.Sukuma gang umepokonywa keki unabwabwaja miaka 5 ya nyuma full kumsifia hayati leo umepokonywa keki unalia?acha usen**** kama unabisha ntascreenshort jumbe zako nizitume humu kama hukuwa praise team