Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.

Nakubaliana na ukweli kwamba hakuna ulinganifu kati ya hawa wawili ingawa nafasi ni moja wanayoitumikia kwa sababu uwezo wa mtu ni akili ya mtu na akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Nyie ndoo watu ambao hamna akili Mnapandishiwa 30000 alaf Kodi Mnapandishiwa kila kona , hiyoo hela ina rudi indirectly way ilipotoka tena na zaid.
Huduma za kijamii zimekuwa mbovu sana sasa hiv umeme na umekuwa changamoto
Kwakeli hii awamu hapana kabsa
Kodi zipi mlizopandishiwa? Zilizoshushwa mbona huzungumzii?
 
Magufuli ametandaza mkeka ,barabara ya ileje ni next level,zamani tulikuwa tunamtumia masaa matatu hadi kuipata Mpemba.

Sasahivi serikali inamalizia shule ya wasichana pale ikumbilo na kumalizia mkeka kipande Cha Itumba,boda ya isongole Kasumulu.

Kwa kweli kuna mabadiliko sana
Japo mimi siyo Mwana CCM ila kama mwana Ileje kwa kiasi kikubwa naona mabadiliko.

Kasekenya asizubae sasa,,atandike mikeka chap kule kwetu milimani tuanze kwenda huku tunapepea.
Wanataka wajue projects Mpya na sisi ni kazi yetu kuwaonesha.

Kazi iendelee Songwe

View: https://youtu.be/ahRrva0pgDo?si=_SoAWZj8i78vtvja
 
Magufuli ametandaza mkeka ,barabara ya ileje ni next level,zamani tulikuwa tunamtumia masaa matatu hadi kuipata Mpemba.

Sasahivi serikali inamalizia shule ya wasichana pale ikumbilo na kumalizia mkeka kipande Cha Itumba,boda ya isongole Kasumulu.

Kwa kweli kuna mabadiliko sana
Japo mimi siyo Mwana CCM ila kama mwana Ileje kwa kiasi kikubwa naona mabadiliko.

Kasekenya asizubae sasa,,atandike mikeka chap kule kwetu milimani tuanze kwenda huku tunapepea.
Lami Mpya inajengwa kuanzia Ruanda-Isongole,Isongole-Kyela nk nk
 
Kujaribu tu comparison ni kumkosea HAYATI.

Muda huu taasisi za serikali zimeshabatizwa kwa moto.
 
Ww ndio unamuwekea pesa kwenye mifuko yako?hadi useme yeye ndie afanyae hayo.
Mimi sijua kwani mlipokuwa mnamsifia bwana wenu yule mkurupukaji ,nyie ndio mlikuwa mnamuwekea pesa?

Bado hujasema Hadi useme
20231107_180832.jpg
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Rais Samia ni janga la taifa hili, kwa kweli huyu Mama hatufai na kosa kubwa analolifanya ni kuweka madarakani mawaziri incompetent ambao Magufuli aliwakataa (January Makamba, Nnape Nnauye).
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Dada Etwege maumivu ya kifo cha JIWE hayajaisha tu? Hujatafutiwa kausesengwe nawewe ulambe? Pole kutesa ni kwa zamu!
 
Wote wawili tunawalaumu kwa vitendo vya kupenda sifa za kijinga hakuna mwenye pesa isipokuwa serikali.
Samia angependa sifa za kijinga angepiga marufuku vyombo vya habari,watu binafsi na Wapinzani kumkosoa , yaani wimbo ungekuwa ni mmja sifa Kwa mama Kawa ilivyokuwa Kwa bwana yule.
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Sukuma gang bado tu hamjakubali?
 
Umeandika vizuri ukweli ni kwamba kwasasa hapa hakuna Rais zaidi ni bomu Tena la kienyeji.taarabu nyingi vitendo zero. Huwezi kupewa heshima na mungu ya kuongoza Watanzania halafu ukaishia kuwafilisi kwa kula starehe. Ondoka tuachie nchi yetu bana
Sukuma gang
 
Samia angependa sifa za kijinga angepiga marufuku vyombo vya habari,watu binafsi na Wapinzani kumkosoa , yaani wimbo ungekuwa ni mmja sifa Kwa mama Kawa ilivyokuwa Kwa bwana yule.
Hicho ulichotaja ndio kipimo cha kupenda sifa tatizo kubwa huelewi vitu kwa undani wake na umevitaji well done.
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Mfate Chattle!
Miaka mitatu hii nchi imetuliaa...
Tushapandishwa madaraja yetu ambayo lile shetani lenu la Chattle lilitudhulumu!
Natamani kama Mungu alifufue lilje lishuhudie tunavyopeta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom