Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia
Kwenye ukurasa wa linkedin, JK anajitangaza kuwa yeye ndiye rais wa Tz na anajisifu kwa kujenga shule nyingi na kugawa madawati.
 
Miaka 3 ya Sami amemaliza kelo zote za watumishi, wakulima, wafanyabiashara, wafugaji, na wawekezaji.....sahz kumetulia tuliiii hakuna anae lalamika ni ufipa tu wamezurumiana hela za join the chain
 
Nonsense. Nilidhani utakuja kwa takwimu kumbe ni maelezo ya jumla. Tutajie kukua kwa pato la Taifa ongezeko la ajira miundombinu FDI . Mapato ya nchi. Demokrasia nk. Twende kwenye hizo parameters na njoo tena na ulinganishi mzuri
Huu wizi wa rasilimali zetu ndiyo demokrasia?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Tuheshimiane ndugu yangu; sasa mimi nahusikaje kwenye mambo ya serikali kama siyo kutaka kunichokoza tu
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Mbona hata kichuguu ni kirefu?!!
JPM hawezi kulinganishwa kamwe.
Kumlinganisha na aliyemfuata ni kumdhalilisha
 
Toka kwenye sofa la shemeji yako nenda ukanunue sukari kwa hela yako
wewe unalishwa hujui kutafuta ndio maana unakuwa na wivu umezoea kupewa mshukuru dada yako na shemeji waliokuwa smart phone angalau unaonekana mitandaoni
 
wewe unalishwa hujui kutafuta ndio maana unakuwa na wivu umezoea kupewa mshukuru dada yako na shemeji waliokuwa smart phone angalau unaonekana mitandaoni
Nyumbu hajawahi kujitambua
 
Miaka 3 ya Sami amemaliza kelo zote za watumishi, wakulima, wafanyabiashara, wafugaji, na wawekezaji.....sahz kumetulia tuliiii hakuna anae lalamika ni ufipa tu wamezurumiana hela za join the chain
Kwamba umeme siyo kero ya wawekezaji,eti zote, rushwa je?
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme ,Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii ,wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom