Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

kuhusu barabara JPM anafahamika toka ni waziri, cha ajabu nini hapo?
Anafahamika akiwa anasimamiwa ila Alipokuwa Rais hakuna Mkoa aliunganisha na lami zaidi ya kujenga huo msalaba hapo Ubungo 😆😆

Mama anajenga zaidi ya km 4,000 za lami zikiwemo njia 4 Mbeya
 
ww una dalili zote za kuwa mke, maana ukweli una ujua ila unakaza,

also sijui kama unajua mambo ya chama. or una nafasi yoyote kwa chama. kuna vitu ungejua usinge ongea hapa.

you think people will notice you, people won't, tafuta kazi nyingine.
 
Anafahamika akiwa anasimamia ila Alipokuwa Rais hakuna Mkoa aliunganisha na lami zaidi ya kujenga huo msalaba hapo Ubungo 😆😆

Mama anajenga zaidi ya km 4,000 za lami zikiwemo njia 4 Mbeya
njia nne mbeya ni years back plan, tena ya kikwete, magu started it. budget was there. ww ujui kitu 😂😂😂😂. tena chawa wa vicholoni
 
njia nne mbeya ni years back plan, tena ya kikwete, magu started it. budget was there. ww ujui kitu 😂😂😂😂. tena chawa wa vicholoni
Kama ni mambo ya plan hata bwawa la Nyerere ni plan ya Nyerere years back,mbona unamsifia Mwendazake?

Mpango sio matumizi punguza ujinga.Hakuna kinachoweza kufanyika bila Mpango kuanzia kuhamia Dodoma Hadi Sgr ni plan za years back
 
ww wa vichocholoni, na hata shule itakuwa ndogo, siasa umeanza juzi.... unaunga unga tu. brain cells ndo mwisho hapo.
ludia home work. shule huna na vitu ujui. literally incompetent . chama kitakutema
 
ww wa vichocholoni, na hata shule itakuwa ndogo, siasa umeanza juzi.... unaunga unga tu. brain cells ndo mwisho hapo.
ludia home work. shule huna na vitu ujui. literally incompetent . chama kitakutema
Huna hoja wewe hater.Ni hivi Mama anajenga njia 4 Mbeya tena ziko 2

Uyole-Ifisi
Igawa-Tunduma

Magufuli aloshindwa hakuwa na pesa
 
Huna hoja wewe hater.Ni hivi Mama anajenga njia 4 Mbeya tena ziko 2

Uyole-Ifisi
Igawa-Tunduma

Magufuli aloshindwa hakuwa na pesa
njia nne sio leo, watu wa mbeya tunajua,

hoja ni ujui kitu. mzee ludia homework , upo incompetent sana. and misinformed.
 
Na
Anafanya vizuri katika kuzurura ughaibuni na kuigiza kama msanii wa filamu 😁
Bado hujasema Hadi useme

View: https://www.instagram.com/p/C1EglJlL5Cb/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Kwenye hotuba ya mwaka Mpya amesema Serikali yake imepata Dola mil.600 kuleta maji Dom kutoka Lake Victoria.

Kwa taarifa yenu tuu sio maji ya kunywa pekee Bali Dom inaenda kuwa shamba kubwa la Umwagiliaji.

Samia ndio ataandika historia ya Nchi hii,kazi iendelee 👇

View: https://www.instagram.com/p/C1EglJlL5Cb/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom