Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Siku zote mwenye Mali na mrithi ni vitu viwili tofauti kabisa.warithi mara nyingi Huwa hawatumii busara na Huwa hawana maarifa ya namna ya kuuendesha mradi kama ilivyokuwa Kwa mmiliki.Magufuli alikuwa ni mzalendo hasa.wa Sasa baadhi ya miradi aliyoicha magufuli imemshinda kuimalizia.mfano ile barabara ya Morocco kwenda mwenge alianza kuwekwa lami lakini Toka magufuli afariki imabaki vilevile Hadi Leo na mingine mingi tu nikianza kuitaja hapa sitamaliza Hadi siku itaisha.
 
Umeandika vizuri ukweli ni kwamba kwasasa hapa hakuna Rais zaidi ni bomu Tena la kienyeji.taarabu nyingi vitendo zero. Huwezi kupewa heshima na mungu ya kuongoza Watanzania halafu ukaishia kuwafilisi kwa kula starehe. Ondoka tuachie nchi yetu bana
Jamani kumbukeni kuna sheria ya mtandao shauri yenu
 
Makamba na Nape wametumbuliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom