Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Umeandika vizuri ukweli ni kwamba kwasasa hapa hakuna Rais zaidi ni bomu Tena la kienyeji.taarabu nyingi vitendo zero. Huwezi kupewa heshima na mungu ya kuongoza Watanzania halafu ukaishia kuwafilisi kwa kula starehe. Ondoka tuachie nchi yetu bana
Bado hamjasema...
Yaani mpk mseme.....
 
Nonsense. Nilidhani utakuja kwa takwimu kumbe ni maelezo ya jumla. Tutajie kukua kwa pato la Taifa ongezeko la ajira miundombinu FDI . Mapato ya nchi. Demokrasia nk. Twende kwenye hizo parameters na njoo tena na ulinganishi mzuri
Nakazia tu, kweli mtoa uzi inabidi arudi tena uwanjani akiwa amejipanga kwa TAKWIMU na sio kuleta zile TAARAB alizoziandika.
Kwa alichoandika hakuna cha kuchangia.
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Ukweli huu lakini chawa watakupinga
 
wasukuma sahauni mambo ya mwendazake.
hayupo na hatarudi tena
keshaliwa na mchwa.
tulitawaliwa na mtu katili sawa na idiamini dada.
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
ingelikuwa weww ni mradi gani ungeanzisha.
we ni bwege syo etiwege.
are u mentally ok ?
project alizoacha mwendazake zingesimama kama mama angeanzisha mipya.
kumbuka mama syo jambazi kama awamu ilopita
 
We kenge ulishaisoma ilani ya CCM 2020 - 2025 ni kipi kilichotekelezwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom