Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Anafahamika akiwa anasimamiwa ila Alipokuwa Rais hakuna Mkoa aliunganisha na lami zaidi ya kujenga huo msalaba hapo Ubungo 😆😆

Mama anajenga zaidi ya km 4,000 za lami zikiwemo njia 4 Mbeya
Mpaka hapa nimegundua Kichwani umejaza KINYESI na sina muda wa ku argue na wewe, siku njema.
 
Amesha andika historia tayari, yeye ni kiongozi asiye na maamuzi yoyote ya kushughulikia watendaji wazembe.

Na ndiye rais aliyeingiza kazini wapigaji ili wapige watakavyo.

Kiukweli kaweka historia 😁
Samia ndio ataandika historia ya Nchi hii,kazi iendelee
 
Amesha andika historia tayari, yeye ni kiongozi asiye na maamuzi yoyote ya kushughulikia watendaji wazembe.

Na ndiye rais aliyeingiza kazini wapigaji ili wapige watakavyo.

Kiukweli kaweka historia 😁
Dr.Pima aliyekuwa anaiba pesa Kwa niaba ya Magufuli Yuko jela

Mkurugenzi wa UDA Yuko Ndani

Sabaya Kijana wa Magu ameshikishwa adabu.

Nitajie fisadi hata mmja aliyehukumiwa na Mwendazake
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Andika kwa facts sio kuja kuleta mtazamo wako
 
Kiufupi Mwenda zake alipenda sana kiki na hasa aliwachota wapumbavu kama wewe mliokuwa mnaona sifa sana kuitwa wanyonge, ameipa hasara kubwa serikali kuanzisha airport chato madeni makubwa ATCL, mauaji mara kwa mara na ufisadi uliokuja kugundulika baada ya kufa, pia alizuia wawekezaji wa nje kuja kuwekeza nchini kutokana na vitisho vya kipumbavu
 
Kiufupi Mwenda zake alipenda sana kiki na hasa aliwachota wapumbavu kama wewe mliokuwa mnaona sifa sana kuitwa wanyonge, amenipa hasara kubwa serikali kuanzisha airport chato madeni makubwa ATCL, mauaji mara kwa mara na ufisadi uliokuja kugundulika baada ya kufa, pia alizuia wawekezaji wa nje kuja kuwekeza nchini kutokana na vitisho vya kipumbavu
Watakwambia kazi za Mwendazake zinaonekana yet Kwa miaka mitano hakuna alichomaliza na Samia ndio anamalizia.

On top of that Samia amefanya meengi sana kumpiga kila.sekta na bila kiki.

Sehemu pekee Sukuma gang wamebakia wanajifariji ni stori za ooh sijui mfumuko wa bei marasijui nauli na uzushi mwingine kama huo.

Mama Yuko kazini

View: https://www.instagram.com/p/C1mABTIp9c6/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
acha kubishana na mapuguani kama huyo. Yule Mzee alisimamisha ajira miaka 6 na akasimaimsha mishahara isipande miaka 6 eti ana miradi muhimu ambayo wengine hawezi, leo ajira zimefunguliwa, mishahara inapanda, boom lipo kwa wasomi na miradi yote aliyoacha hayati inaenda, na chadema pia ruksa kupiga kelele yule bwana yeye ndio rais eti mikutanoya ndani na nje vyama vingine marufuku. Huyu mama yuko vizuri mu kichwa mzigo aloachiwa ni mkubwa mno tusitegemee muujiza. Hizo pesa za ndani za miradi hazikonekana tangu tarehe 18/3. na kazi inaendelea.

zi
Nyie ndoo watu ambao hamna akili Mnapandishiwa 30000 alaf Kodi Mnapandishiwa kila kona , hiyoo hela ina rudi indirectly way ilipotoka tena na zaid.
Huduma za kijamii zimekuwa mbovu sana sasa hiv umeme na umekuwa changamoto
Kwakeli hii awamu hapana kabsa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom