Miaka 3 tangu kufariki kwa CPWAA, unamkumbuka kwa wimbo gani?

anajifanya wa masaki tabia za kiswazi 🎶🎶🎶🎶
anajifanya wa masaki tabia za kiswazi legooo 🎶🎶🎶🎶🎶🔥🔥🔥
 
Nitamkumbuka sana kwa movie yake ya Dar to Lagos na Uncle JJ tangu aondoke bongo movie imekufa
 
Givvv mii sammm
Shoo miii saammm

Ai niiid tuuu siii sammm
Onananana
Aksheeeen yeeeee
😁😁😁
 
  • Kicheko
Reactions: K11
View attachment 2874344
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021

Wakati wa uhai wake, CPWAA alifanya vizuri na ngoma nyingi zikiwemo 6 In The Morning, Problem, Pwaa na Action. Pia, alikuwa mmoja kati ya Wasanii waliounda kundi la Park Lane akiwa na Suma Lee ambaye kwasasa ameachana na Muziki

Unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu wa Bongo Flava?

Soma TANZIA - Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili
Problems ndio ngoma nayoikubali zaidi kutoka kwake. Kuanzia beat ile ta crank kutoka ka lucci, flow, style hata kwa wakati huo ile video ya Adam.
 
"Toka Mbeya Day, bonanza graduation A, mpaka Adili na Master Jay, what can say, Bongo Records na P-Funk na sasa I'm the KiNG of the Bongo Crank "

SAFARI - WITNESS ft ZAHIR A. ZORRO & C-Pwaa (R.i.P)
 
View attachment 2874344
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021

Wakati wa uhai wake, CPWAA alifanya vizuri na ngoma nyingi zikiwemo 6 In The Morning, Problem, Pwaa na Action. Pia, alikuwa mmoja kati ya Wasanii waliounda kundi la Park Lane akiwa na Suma Lee ambaye kwasasa ameachana na Muziki

Unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu wa Bongo Flava?

Soma TANZIA - Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili
jamaa pengolake mpaka sasa halijazibika kitambo sana jamaa ngoma zake zilishaanza kupigwa kwenye Tv kubwa ulimwenguni jamaa angekuwepo mpaka leo bongo Crunk ingekuwa mbali sana kimataifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom